Mkutano Mkuu wa mwaka ECOBANK WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam 19 June 2015.
View ArticleALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10
Masanja Mwinamila (44) mara baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Nzega Juni 15, 2015. Mtoto Margreth Hamisi Machiya (6) aliyenusurika kuuzwa akiwa hai na mjomba wake. Mtoto Margreth...
View ArticleCHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU TANZANIA(REDCROSS)KIMETOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA...
Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba mwekundu (Redcross) Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili, akifungua mafunzo ya Redcross kwa Viongozi wa vyama vya siasa Mkoa wa Mbeya.Meneja wa Idara ya Habari na...
View ArticleLOWASA ASIMAMISHA SHUGHULI KWA SAA KADHAA NJOMBE WAKATI AKIOMBA WADHAMINI
Wakazi wajitokeza Kumsikiliza na Kusimamisha Biashara Zao Mwenyekiti wa Vijana CCM Mkoa wa Njombe Bwana Imani Fute Akitoa Taarifa ya Wadhamini Zaidi ya Elfu Kumi Waliojitokeza Kumdhamini Lowasa Mkoani...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA WZIRI MKUU WA INDIA
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ikulu ya New Delhi India baada ya...
View ArticleMTAALAMU WA MADINI NCHINI ATIA NIA YA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA
Wa pili toka kulia ni Batholomeo Mkinga[Msambichaka] Akiwa Kwenye Maandamano na Viongozi Wengine wa CHADEMA Toka Njombe na Ludewa Wakielekea Katika Viwanja Vya Kutangaza Nia ya Kugombea Ubunge Jimbo...
View ArticleDIWANI WA KATA YA UWEMBA EDWARD MWALONGO ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA...
Diwani wa Kata ya Uwemba Mheshimiwa Edward Mwalongo Akitangaza Nia Yake ya Kugombea Ubunge Jimbo la Njombe Kusini Kupitia Tiketi ya CCMBaadhi ya Marafiki wa Mtia Nia Edward Mwalongo Walioshiriki Katika...
View ArticleMWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA CHADEMA MKOA WA NJOMBE EMMANUEL MASONGA...
EMMANUEL MASONGA AKITOA HOTUBA KWA WANANCHI NA WANACHAMA WALIOFIKA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KATIKA MTAA WA RAMADHANIMWENYEKITI CHADEMA WILAYA YA NJOMBE ABU MTAMIKE AKIZUNGUMZA NA WANANCHI...
View ArticleIGP MANGU AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI DAR ES...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi kufunga Mafunzo ya Uongozi Daraja la Pili kwa Maafisa wa Jeshi la Magereza.(Picha zote...
View ArticleNAIBU KAMISHNA WA POLISI DCP ALLY MLEGE AFARIKI DUNIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu anasikitika kuwataarifu wananchi kuwa aliyekuwa Naibu Kamishna wa Polisi DCP Ally Mlege amefariki dunia usiku wa tarehe 21 juni, 2015 katika hospitali...
View ArticleKINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI SENGEREMA LEO, KESHO KUINGIA MISUNGWI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuaindua rasmi kivuko cha Super Sumar kinachofanya safari zake kati ya Pwani ya Kamanga wilayani Sengerema na Mwanza wakati Katibu Mkuu huyo...
View ArticleMATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA-JUNI 22,2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015. (Picha zote na Ofisi ya...
View ArticleDOKTA SAGASAGA ATIA NIA RASMI UBUNGE NJOMBE KUSINI[Chadema].
.Asema ataongoza Jimbo Kwa Maandamano Barabarani. Mtia nia Ubunge Jimbo la Njombe Kusini Kupitia Tiketi ya CHADEMA Bwana Ally Mhagama[Dokta Sagasaga] Akitangaza Rasmi Kugombea Ubunge Jimbo Hilo....
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo.Juni 24,2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa...
View ArticleMADIWANI H/SHAURI NJOMBE WACHARUKA H/MJI NJOMBE KUWAIBIA MAPATO KWENYE MAENEO...
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Shaibu Masasi Akifungua Kikao Cha Baraza la Madiwani Leo Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akitoa Salamu za Serikali Kwenye Kikao Cha Baraza...
View ArticleLOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) sambamba na Mkewe Mama Regina Lowassa, wakiongozana na viongizi mbali mbali wa Chama wa Mkoa wa...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE AKUTANA NA WASANII WA FILAMU MKOA WA MOROGORO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wasanii wa tasnia ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya...
View ArticleMWENGE WA UHURU KUWASILI MUFINDI JUNI 25 NA 26 MKOA WA NJOMBE
Jumla ya miradi 13 yenye thamani ya Zaidi ya shilingi bilioni 1.2 inatarajiwa kuzinduliwa pamoja na kuwekwa mawe ya msingi na Mwenge wa uhuru utakapokimbizwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi...
View ArticleCHADEMA WALIVYO ZINDUA OPERESHENI NYINGINE KWA WANAWAKE.....
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezindua operesheni maalum ya kuwaamsha wanawake nchini kote kwa nia ya kuhakikisha kuwa wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA KATIKA ZIARA JIMBO LA SUMVE LEO
VICKY KAMATA AKIMSIFIA KINANA GEITAKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng’ombe ili kunywesha kwenye Lambo la kisasa la kunywesha mifugo la kijiji cha Mwagi Kishiri katika jimbo la...
View Article