Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI CHADEMA MKOA WA NJOMBE AREJESHA FOMU UBUNGE JIMBO LA NJOMBE KUSINI

 .Wawili Wapotelea Mitini Kati ya 11 Waliochukua Fomu Hizo Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe Bwana  Raphael Fakhi Lulandala Akielekea Kurejesha Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Njombe Kusini Leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOTI YA KILIMANJARO V YAZINDULIWA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa kampuni ya Azam Hussein Moh’d Said akiwaelezea Waandishi wa Habari juu ya safari ya Boti hiyo Kilimnjaro V  zitakavyokuwa kati ya Zanzibar na  Dari-esaalam .( Pcha zote Na Miza Othman...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA NJOMBE WAFUNGA ZOEZI LA UREJESHAJI FOMU NAFASI YA UBUNGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADIWANI NJOMBE WATAKA KUNUNULIWA KWA RISASI ILI KUKABILIANA NA NYANI SHAMBANI

.Wapiga Picha ya Pamoja Kuaga Rasmi Katika Kikao Cha Mwisho Cha Baraza.Wasubiri Kikao cha Kuvunja Baraza Hilo.Madiwani Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja Baada ya Kuhitimisha Kikao Cha Mwisho Cha Kawaida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WAANZA KUKIMBIZWA MKOANI NJOMBE

 Afisa Habari Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Lukelo Mshaura Akiwa na Mmiliki wa Mtandao Huu Bwana Gabriel Kilamlya Wakiwa Kwenye Shamra shamra za Mapokezi ya Mwenge kwa Picha ya[Selfie] Mkuu wa Mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA UCHAGUZI NEC YAAHIRISHA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WAWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Geita, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NJOMBE- AZITAKA HALMASHAURI KUTOA USHIRIKIANO KWA BENKI YA NJOCOBA

 Wa Kwanza ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wananchi Njombe[NJOCOBA]Bwana Michael Ngwira Akiwa Kwenye Kikao Cha Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki Hiyo Leo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU WAAGA WILAYA YA WANGING'OMBE LEO NA KUINGIA MAKETE

Mkuu wa Wilaya ya Makete Bwana Rweyemamu Akikiri Kuupokea Mwenge wa Uhuru Leo Ukiwa Una Ng'ara Toka Kwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Fredrick Mwakalebela Mwenye Shati la Kitenge Pembeni Timu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBALIMBALI KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU (TANZANIA TFF)

 Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga leo ametangaza kuanza kwa michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Julai 18, 2015 na kumalizika Agosti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHIMIZA WANANCHI KUEPUKANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA KUPIMA...

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF yatoa huduma za afya bure Maonesho ya Sabasaba

by SOLO MazallaDk. Suzan Lymo toka Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam (wa kwanza kulia) akimuhudumia mteja akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF.Mmoja wa Maofisa wa Shirika la Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WAMSIKILIZA RAPHAEL LULANDALA MSEMWA AKITANGAZA NIA UBUNGE NJOMBE...

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe Mwl.Raphael Fakh Lulandala Msemwa Akihutumia Maelefu ya Wakazi wa Njombe Wakati Akitangaza Nia Yake ya Kugombea Ubunge Jimbo la Njombe Kusini Kwa Tiketi ya CHADEMA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHAFUKO BURUNDI SITA WAUAWA

Nchini Burundi watu sita, akiwemo afisa mmoja wa polisi, wameuawa katika ufyatulianaji risasi leo katika mji mkuu Bujumbura. Duru zinaarifu kuwa ghasia hizo zimejiri katika eneo la Cibitoke ambalo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO KUSAJILIWA NA KUPEWA VYETI BURE...

Mkuu wa wilaya ya Sengerema Mhe Zainab Rajabu Telack akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika Sherehe za uzinduzi wa Mkakati wa Uasajili na kutoa Vyeti vya kuzaliwa bure kwa Watoto wenye Umri chini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZZ

BARAZA LA MADIWANI  KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE  LAVUNJWA  RASMI  LEOMkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akizungumza Katika Kikao Cha Kuvunja Baraza la Madiwani Hao Leo.Na Gabriel Kilamlya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY TO ALEX AND GABRIEL KILAMLYA

 Leo ni siku ya kuzaliwa kwa wapendwa hawa Mapacha  Alex Elias Kilamlya na Gabriel Elias Kilamlya.Ni Jambo la Kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua tuliyonayo sasa kwani si wote ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIASA CHAFU NDANI YA CCM NJOMBE ZAPIGWA MARUFUKU

 Katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Njombe Bwana Hitler Msola Akizungumzia Siasa Chafu Zilizoanza Kuibuka Miongoni mwa Wanasiasa Ndani ya Chama Hicho.Na Gabriel Kilamlya NjombeWito Umetolewa Kwa Wagombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNEC WILAYA YA NJOMBE OSCAR MSIGWA AWATAKA WAKAZI WA NJOMBE KUKUBALI KAZI...

 Baadhi ya Makatibu kata wa CCM Jimbo la Njombe Kusini Wakimsikiliza Mnec wa Wilaya ya NjombeMwenyekiti wa Makatibu wa CCM wa Kata za Wilaya ya Njombe Bwana Maxona Nathanael Akizungumza na Makatibu...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live