Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AITAKA SERIKALI KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI KWA...

 Wananchi wa Ngara mjini wakishangilia jambo katika mkutano wa hadhara wa CCM KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa mji wa Ngara Mjini kwenye mkutano wa hadara,Nape...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA VIJANA WAKATHOLIKI TANZANIA LAHITIMISHWA NJOMBE LEO

 Maandamano ya Kuanza Misa Katika Uwanja wa Shule ya Mtakatifu Bakita Mjini Njombe Leo.Askofu wa Jimbo Kuu la Songea Mhashamu Damian Denis Dallu Akihubiri Katika Misa ya Kongamano la Vijana Wakatholiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU WA CHADEMA MKOA WA NJOMBE ALATANGA NYAGAWA ATANGAZA RASMI NIA YAKE YA...

Mwanasiasa Mkongwe Alatanga Nyagawa Ambaye ni Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Njombe Akitangaza Rasmi Nia Yake ya Kugombea Ubunge Jimbo la Njombe Kusini LeoNa Gabriel Kilamlya NjombeKatibu wa Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 22 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA MAFINGA KATIKA BASI LA ANOTHER G USIKU WA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA

MUFTI  Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, enzi za uhai wake. Habari zilizofika chumba chetu cha habari mapema asubuhi leo na kuthibitishwa na mamlaka husika zinasema Mufti Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16 ITUMIKE KUTAFUTA HAKI ZA WATOTO

Mmoja Kati ya watoto nchini akiwa katika ajira mbaya Kesho ni siku ya Mtoto wa afrika tushirikiane kupinga ajira mbaya kwa watoto tusiwape watoto ajira mbaya tuwape elimu bora pinga ajira mbaya boresha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI ATOA MSAADA WA PIKIPIKI 16 KWA MAKATIBU KATA WA CCM JIMBONI KWAKE

Makatibu kata wa CCM jimbo la Isimani wakiwa wamezunguka pikipiki 16 zilizotolewa na mbunge wao Wiliam Lukuvi kwa ajili ya  kuwasaidia katika shughuli za kila siku Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hassan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIILI YOTE 23 YA AJALI YA BASI LA ANOTHER G NA LORI MUFINDI IRINGA...

Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa Bi Mboni Mhita  kushoto  akiwa na wajumbe wa kamati ya  ulinzi na usalama wilaya hiyo ya  Mufindi  katika  kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya  wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waislam kwenye Mazishi ya Sheikh Mkuu wa...

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHADEMA JIMBO LA NJOMBE KUSINI ALLY MHAGAMA [DOKTA SAGASAGA]...

Mwenye Mtandio mwekundu ni mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Njombe Kusini  Bwana Ally Mhagama Ambaye Anatarajia Kutangaza Nia ya Kugombea ubunge jimbo Hilo Siku ya Juma Pili ya Wiki Hii. Na Gabriel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame

Rais Paul Kagame wa Rwanda Wapinzani wa rais wa Rwanda Paul Kagame wameshtumu mapendekezo ya kuifanyia mabadiliko katiba ili kumruhusu kuwania muhula wa tatu.Zaidi ya raia milioni 7.3 wametia sahihi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi wa Umma watakiwa kukamilisha maandalizi ya uchaguzi mkuu vizuri.

katibu kiongozi Balozi Ombeni   Sefue.…………………………………………………………NA SALMA NGWILIZI-MAELEZO WATUMISHI  wa Umma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na weledi ili kuhakikisha kuwa maandalizi  ya Uchaguzi Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA KUPAMBANA, USAFIRISHAJI NA MATUMIZI YA DAWA ZA...

Waandamanaji katika maadhimisho ya siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani wakipita mbele ya mgeni rasmi katika kiwanja cha Kombawapya. Picha na Makame Mshenga-Maelezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ombeni Sefue -afungua kongamano la Wiki ya Utumishi wa Umma juni 17,2015 Dar...

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akifungua kongamano la  Wiki ya Utumishi wa Umma lililofanyika leo  kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizungumza na maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe apata mapokezi makubwa mjini...

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muuaji wa kanisani Charleston ashtakiwa

Mshukiwa wa mauaji ya kanisani nchini Marekani ameshtakiwa na mashtaka tisa ya mauaji Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa la kihistoria la Kiafrika katika mji wa Charleston ameshtakiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AITIKISA KATORO MKOANI GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha ishara mbalimbali kwa msisitizo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye  mji mdogo wa Katoro jimbo la Busanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri 2 washtakiwa na ufisadi Kenya

  Waziri wa ardhi nchini Kenya aliyesimamishwa kazi Charity Ngilu amefikishwa mahakamani na kujibu mashtaka ya kuwazuia maafisa wa shirika la kupambana na ufisadi kuchunguza stakabadhi za ardhi moja...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live