Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu Zilizowafanya Wazee wa Baraza Wamtie Hatiani Lulu Michael

Wazee wa baraza wameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa mwigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu amehusika kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba.Wakitoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mume na Mke Wauawa kwa Mapanga Usiku

Mume na mke wameuawa kwa kukatwa mapanga wakiwa wamelala nyumbani kwao.Wanandoa hao walikuwa na kesi mbili za kugombea ardhi katika baraza la aridhi la Kata ya Hunyari, Tarafa ya Chamriho wilayani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Korea Kaskazini yaiwachilia huru meli ya uvuvi ya K Kusini

Korea Kaskazini inasema kuwa itaiachilia meli ya uvuvi ya Korea Kusini ilioikamata siku sita zilizopita kwa kuingia katika himaya yake kinyume cha sheria, chombo cha habari kimesema.Meli hiyo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mganga Mkuu Akanusha Watoto 9 Kufariki kisa Kukatika kwa Umeme

Mganga Mkuu Mkoa wa Arusha Dkt. Wonanji Timoth amekanusha taarifa za kufariki kwa watoto 9 waliokuwa kwenye Incubator kutokana na katizo la umeme hapo jana hospitali ya Mt. Meru, na kusema kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe Aingilia Kati Sakata la Mzee Majuto Kudhulumiwa Mamilioni ya Pesa

Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kigwangalla asitisha operesheni ya kuchoma makazi Loliondo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla leo Ijumaa ametangaza kusitishwa operesheni zilizokuwa zinaendelea katika pori tengefu la Loliondo na ametaka mifugo yote inayoshikiliwa na Hifadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PUTO LA HARBINDER SETHI LINAKARIBIA KUPASUKA

Wakili wa Sethi adai mteja wake hajapewa majibu Muhimbili Wakili  Alex Balomi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mshtakiwa Harbinder Sethi licha ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKUBWA YAANDIKWA MAGAZETINI LEO

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Octoba 28

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sweden yamwaga mabilioni

BALOZI WA SWEDEN NCHINI, KATARINA RANGNITT.SWEDEN imetoa Sh. bilioni 80.4 kwa Umoja wa Mataifa (UN) ili kusaidia kuzuia vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto na kuhamasisha wanawake kushiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi wakamata Vifaranga vya kuku 6,400

                                          Arusha.  Vifaranga vya kuku 6,400 vinatarajiwa kuchomwa moto baada ya kunaswa vikiingizwa nchini kupitia Longido mkoani Arusha.Vifaranga hivyo vilikamatwa juzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi wawili wasimamishwa kazi

Polisi wawili wa trafiki nchini Afrika Kusini wamesimamishwa kazi na wanakabiliwa na mashtaka ya kuaibisha kikosi cha polisi baada ya video yao "wakila pesa" kusambaa sana mitandao ya kijamii.Video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu za Rais Magufuli Kutokugawa Milion 50 Alizoahidi Kwa Kila Kijiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ameeleza sababu zinazomfanya achelewe kutimiza ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji alizoziahidi wakati wa kampeni za kugombea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ: ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI ASUBUHI YA LEO.

Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amekamatwa na Jeshi la Polisi asuhubi hii  akiwa nyumbani kwake na amepelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM SINGIDA:HASIRA ZA KUKOSA UWAZIRI KWA MUONDOA NYALANDU

Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimesema sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu za kuacha ubunge hazina mashiko, isipokuwa kilichomsukuma kufukia uamuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE ASEMA MILANGO IKO WAZI KWA NYALANDU

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Aikael Mbowe, amemkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM , Lazaro Nyalandu baada ya kuweka wazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli awapa siku 14 wamiliki wa viwanda

Rais John Magufuli ametoa siku 14 kwa wamiliki wa kiwanda cha nguo cha Mwatex cha jijini Mwanza na cha dawa cha Keko jijini Dar es Salaam kuonyesha mpango madhubuti wa kiutendaji na uendeshaji.Amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA MPYA:ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA NA KUTAKIWA KURIPOTI KWA DCI...

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana na kutakiwa kuripoti siku ya Jumanne saa tatu asubuhi kwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli afunguka mazito kuhusu wanaohama CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kusema kuwa wapo watu ambao walikuwa ni wezi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema saizi watu hao wamekimbilia Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO KUSAIDIA MAGEUZI YA KILIMO NJOMBE

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Christopher Ole Sendeka akihimiza jambo wakati wa mazungumzo yake na ugeni kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)  Benki ya Maendeleo ya Kilimo ya Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA Wajiapiza Kuchukua Ushindi Jimbo la Nyalandu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kina uhakika wa kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge wa jimbo la Singida Kaskazini ambalo Bunge lilitangaza jana kuwa liko wazi baada ya aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA yaeleza sababu za kusitisha utoaji wa leseni za udereva

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeeleza kuwa itaendelea na zoezi la utoaji wa leseni za udereva kwa wote walioomba, baada ya zoezi hilo kusitishwa kwa muda.Mkurugenzi wa Elimu na Huduma kwa mlipa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa kijiji afukuzwa kazi kwa kupiga chabo

(Picha sio ya tukio husika)Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amemsimamisha kazi mwenyekiti wa kijiji cha Sayu, Mataifa Balekele mwenye umri wa miaka 54, kwa kulalamikiwa na wananchi kuwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NASA WATAKA ENEO LA PWANI LIONDOLEWA KWENYE RAMANI

Mombasa, Kenya.  Baadhi ya wanasiasa na viongozi wa Muungano wa National Super Alliance (Nasa) eneo la Pwani wameibua mjadala wakitaka eneo hilo kuondolewa katika ramani ya Kenya.Wanasiasa takriban 18...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI ABATIZA KWA KUTUMIA POMBE

Mchungaji mmoja huko Afrika Kusini amekuwa akikosolewa vikali baada ya kuanza kubatiza washirika kwa kutumia vilevi ambavyo wanavipenda kitendo ambacho ni kinyume na utaratibu.Askofu Tsietsi Makiti,...

View Article

UTALII NYANDA ZA JUU KUSINI KUTILIWA MKAZO

WAJASILIA MALI UTALII WA UTAMADUNI WATAKAKIWA KUTUMIA MIDANDAO YA KIJAMII KUJITANGAZAWadau Wanaofanyakazi katika Sekta ya Utalii Nyanda za Juu Kusini mikoa ya Njombe Iiringa na Mbeya wametakiwa kutumia...

View Article