$ 0 0 Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam 19 June 2015.