Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMBAWANGA YAKUMBWA NA MAFURIKO

 RUKWAMvua Kubwa Iliyoambatana na Upepo Mkali Imenyesha Kwa Takribani Saa Moja Katika Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa na Morogoro na Kusababisha Kuharibika Kwa Miundombinu ya Barabara,Nyaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHUBIRI MAARUFU DUNIANI TB JOSHUA WA NIGERIA ATUA DAR ES SALAAM KUSHUHUDIA...

Mtume TB Joshua wa kanisa la Church of All Nations nchini Nigeria  ametua jijini Dar es salaam leo  tayari kwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli siku ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA KUAPISHWA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO DAR‏

Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Askari wa Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESHO ALHAMISI NI SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO

      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi,Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.      Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Image captionKikwete afanya mazungumzo na Maalim Seif Hamad wa ZanzibarRais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uingereza:Mlipuko chanzo ajali ya ndege

  Mabaki ya ndege ya Urusi ililyoanguka Misri Uingereza imetoa angalizo kwamba huenda mlipuko ndio uliosababisha ndege ya shirika la ndege la Urusi kuangukia nchini Misri na kuua abiria wote mia mbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARAIS NA VIONGOZI WA MATAIFA MBALIMBALI WAWASILI TANZANIA KUSHUHUDIA UAPISHO...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (katikati chini) akimsubiria Rais wa Zimbabwe Mhe. Robert Mugabe (katikati juu kwenye ngazi) alipokuwa akiteremka kwenye Ndege, Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AAPISHWA UWANJA WA UHURU NA KUWA RAIS WA TANZANIA...

Rais Mh. Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Chande kwenye uwanja wa Uhuru  jijini Dar es salaa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  mara baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HAZINA,

Ashangazwa Kuona Idadi Ndogo ya Watumishi OfisiniRais Dkt.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika makao makuu ya Wizara ya Fedha(HAZINA) kwa ziara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WANNE WA NCHINI CHINA...

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WANNE RAIA WA CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU. RAIA HAO WALIFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. XIAO SHAODAN (29) AKIWA NA PASSPORT NAMBA...

View Article

Breaking News: Dr. Helen Kijo Bisimba apata ajali jijini Dar es Salaam leo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MFUMUKO WA BEI WA MWEZI OKTOBA, 2015

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza na waandishi wa habari  leo Jijini Dar es Salaam Kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AVUNJA BODI YA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR

-Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KURA ZA MAONI KUPIGWA KESHO LUDEWA CCM[UBUNGE]

 Na Gabriel Kilamlya Ludewa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Kesho Wanatarajia Kupiga Kura Ili Kumchagua Mgombea Ubunge Atakayekwenda Kupambana na Vyama Vya Upinzani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE CHADEMA NJOMBE WAMTAKA MBUNGE WA CHADEMA VITI MAALUMU MKOA WA NJOMBE...

Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa na Wilaya ya Njombe Wakiwa na Mbunge Mteuli wa Viti MaalumuCHADEMA Mkoa wa NjombeWakazi wa Soko Kuu Njombe Mjini Wakishangilia Kumpokea Mbunge wa Viti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEOGRATIAS NGALAWA AONGOZA KURA ZA MAONI LUDEWA UBUNGE[CCM]

Wa Kwanza Kushoto Mwenye T-shirt ni Mshindi wa Kura za Maoni Ubunge Ludewa CCM Zilizopigwa Leo, na Picha Hiyo ni AlipokuwaAfisa Mkuu Mtendaji wa Posta na Simu SACCOS. Mchakato wa Upigaji Kura Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Buhari atangaza baraza lake la mawaziri

Bi Adeosun ameteuliwa waziri wa fedha Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari hatimaye ametangaza wizara na mawaziri watakaozisimamia, miezi saba baada yake kushinda uchaguzi wa urais.Nafasi muhimu ya waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA RAIS MSTAAFU WA...

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais leo Novemba 12, 2015  TAARIFA YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALEMAVU WA MACHO NJOMBE WAITAKA SERIKALI KUWAKUMBUKA

 Mwenyekiti Bwana Lusius Mlowezi Daud  Mbanga ni Katibu wa Chama Hicho Tawi la NjombeViongozi wa Chama Cha  Walemavu wa Macho Tawi la NjombeHapa ni Ofisi za Chama Cha Walemavu NjombeNa Gabriel Kilamlya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA...

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. John Mngodo akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Kamishna Jenerali wa Magereza alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Novemba...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live