Quantcast
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOMBE PRESS CLUB YAWAKUTANISHA WADAU WA HABARI

wadau na waandishi wa habari wakisikiliza mada katika mkutano uliowakutanisha wadau wa habari mkoani njombe katika ukumbe wa fm hotel kujadili haali ya uchaguzi mwaka huumhasibu wa njombe press club...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

 MTU MMOJA MKAZI WA NZOVWE JIJINI MBEYA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA AKIWA NA MALI YA WIZI.MTU MMOJA MKAZI WA NZOVWE JIJINI MBEYA ALIYETAMBULIKA KWA JINA LA BARAKA SHANSIYA (26)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI NJOMBE WANOLEWA JUU YA HABARI ZA MAKALA KUPITIA NPC

 Mkufunzi wa Habari za Makala Kwa Wanahabari toka Vyombo Mbalimbali vya habari Kupitia Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Njombe[NPC] Bi.Agnes Kabigi Akiwaseminisha Wanahabari hao Baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZIMA MWENGE WA UHURU MJINI DODOMA

 Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Ndugu Juma Khatib Chum akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mwenge wa uhuru wakati  wa sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge zilizofanyika katika Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA

Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambalo limefunguliwa rasmi na Rais Kikwete mjini Dodoma.Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo, tarehe 15...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UBUNGE NJOMBE KUSINI[MJINI][CHADEMA]ATEKA WAKAZI UWEMBA,IWUNGILO NA...

 Mgombea Ubunge Jimbo la Njombe Kusini Emmanuel Masonga Kupitia Tiketi ya CHADEMA Akizungumza na Wakazi wa Kijiji Cha IwungiloBaadhi ya Wakazi wa Kijiji Cha Iwungilo Wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA...

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.Mtoto wa kwanza wa Dk....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua Mradi wa Kusaga Kototo Pongwe Msungura

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI KATIKA MAHAKAMA

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt  Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri 5 waangushwa uchaguzini Tanzania

Image captionMakao makuu ya matokeo ya uchaguzi nchini TanzaniaMwaziri watano wa serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi katika majimbo yao,huku wagombea wengine wa Ubunge maarufu nao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akabidhi vitabu Chuo Cha ulinzi cha Taifa (National Defence...

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange vitabu kwaajili ya Chuo Cha ulinzi cha Taifa National Defence College(NDC) katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya Ubunge :MWAMOTO NDIO MBUNGE KILOLO

Wananchi wa Lulanzi wakimpongeza Venance Mwamoto katikati baada ya kushinda Ubunge jimbo la KiloloWana ccm wakiwa na jeneza la Chadema..............................,,,,,,,,,,,,Matokeo ya Ubunge kilolo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WA JK WLIOANGUKA KWENYE NAFASI YA UBUNGE MWAKA HUU 2015

Mawaziri watano wa Serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi majimboni mwao, sambamba na wagombea wengine maarufu wa Bunge lililopita baada ya matokeo ya kura zilizopigwa Jumapili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA VIJANA WA SOKO LA MBAO KAMBARAGE WAENDELEA KUPINGA MATOKEO YA...

 Baadhi ya Vijana Wamekutana na Emmanuel Masonga Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Njombe Kusini CHADEMA Katika Soko la Mbao Huko Kambarage Mjini Njombe Wakitaka Kujua Sababu zaKushindwa Ubung...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA MAGUFULI WA CCM ATANGAZWA KUINGIA IKULU RASMI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva Akimtangaza Dokta John Magufuli Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Kupata Zaidi ya Kura Milioni Nane Waangalizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA MAGUFULI ANYAKUA GAMBA LAKE

 Tume ya uchaguzi ilisema Magufuli alipata asilimia 58.46 ya kura zilizopigwa    Mgombea urais kupitia chama cha CCM John Mafuguli amepewa cheti cha ushindi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Obama aing'oa Burundi kutoka kwenye AGOA

Marekani imeiondoa Burundi kutoka kwenye mikataba yake ya kibiashara AGOA iliyowezesha mataifa ya Afrika kuingiza bidhaa zao katika soko la Marekani bila kulipa kodi. Marekani imeiondoa Burundi kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maalim Seif: Uchaguzi ulifanyika bila malalamiko

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad  amesema kuwa, hakuna malalamiko yoyote yaliyowasilishwa siku ya kupiga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAJESHI WA JWTZ ZANZIBAR ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI KIJIJI CHA...

Muonekano wa Gari hilo kama linavyoonekana baada ya kupata ajali eneo la kijiji  cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Novemba 1, 2015 kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA CHAMA CHA WAFUGANYUKI

*Ataka tafiti ziongezeke, branding zipewe kipaumbeleWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezindua Chama cha Kuendeleza Ufugaji Nyuki Tanzania (Tanzania Beekeeping Development Organization– TABEDO) na kukitaka...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live