NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (Kushoto), akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Braiton Manyo alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo...
View ArticleWADAU WA AFYA MKOANI MBEYA WAKUTANA NA KUJADILIANA KUELEKEA SIKU YA...
Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya Ndugu Stellah Kategile akiwasilisha maada kwa wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Mbeya katika kikao cha kujadili juu ya kuelekea katika siku ya maadhimisho ya Ukimwi...
View ArticleJK ATINGA OFISINI KWAKE LUMUMBA AANZA KUPIGA MZIGO FASTA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha...
View ArticleBOMOABOMOA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM
Dereva wa Katapila akibomoa moja ya nyumba za KurasiniFatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yaoMwenyekiti...
View ArticleWAMUUWA MAMA YAO KWA KUTAKA MASHAMBA NJOMBE
Hili ni Eneo Ambalo Bibi Huyo Alizikwa Katika Shimo la Choo Cha Nyumba ya Jirani YakeKamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad Mutafungwa Amefika Eneo la Tukio Huko Limage Kata ya Yakobi Na Gabriel...
View ArticleKOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA...
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt.Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wakuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi nausalama...
View ArticleRAIS MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya...
View ArticleKASSIM MAJALIWA NDIYE WAZIRI MKUU AWAMU YA TANO
WAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.……………………………………………………………………………………………………..Na Ismail Ngayonga MAELEZO DodomaWAZIRI Mkuu mteule wa Serikali ya Awamu ya Tano,...
View ArticleMHE.DKT. TULIA AKSON ACHAGULIWA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO...
Na Lilian LundoMaelezoDodomaWabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemchagua Mhe.Dkt. Tulia Akson kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 baada ya kumshinda...
View ArticleWIKI YA USAFI NA MAZINGIRA YAHITIMISHWA LEO KITAIFA MKOANI...
Picha na Gabriel Kilamlya NjombeImeelezwa Kuwa Jumla ya Watu Bilioni 1.8 Wamekufa Barani Afrika na Wengine Bilioni 1.7 Wameugua Magonjwa ya Mlipuko Kikiwemo Kipindupindu Kutokana na Kutozingatia...
View ArticleTANZANIA YACHAGULIWA NA UNESCO KUWA MJUMBE WA KAMATI YA URITHI WA DUNIA
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) leo tarehe 23/11/2015 katika Ofisi za Wizara hiyo ambapo amesema kuwa Jamhuri ya...
View ArticleMAJALIWA AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI YAKE NA KUJITAMBULISHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea shada la maua kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa Utawala wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Savera Kazaura (kulia) Baada ya kuwasili ofisini kwake Novemba 23, 2015. Kushoto ni...
View ArticleSIKUKUU YA UHURU KUSHEREHEKEWA KWA KUFANYA KAZI
Kwa mujibu wa Sheria ya Sikukuu za Kitaifa (The Public Holidays Act, Cap 35) pamoja na Sheria zingine zinazompa mamlaka Rais kutangaza siku yoyote kuwa sikukuu au mapumziko, Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA...
R.P.C Ofisi ya Kamanda wa Polisi,...
View ArticleWAZIRI MKUU ATAKA KILA MKURUGENZI ASOME HOTUBA YA RAIS, AIFANYIE KAZI
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa vitengo na wakuu wa taasisi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) wapate nakala ya hansard ya hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Tanzania (WFT) wakati viongozi hao walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA TRA
Raisi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemsimamisha kazi kuanzia leo tarehe 27 Nov. 2015, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu Rished Bade...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO...
WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh....
View ArticleCCM YAAHIDI KUMPA USHIRIKIANO DK. MAGUFULI
Mh. Nape Nnauye Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM na Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi akizungumza wakati alipokutana na wahariri wa New Habari leo.………………………………………………………………………………………….Chama Cha...
View Article