Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zimbabwe yauza Tembo wake China

Wanaharakati wa kutetea maslahi ya wanyama wameishutumu hatua hiyoZimbabwe inasema inahitaji fedha kukabiliana na uwindaji haramu, lakini mashirika ya kutetea maslahi ya wanyama yameghadhabishwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZ

Mbunge Nasari apata ajali ya HELKOPTA Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassar amepata ajali ya helkopta na sasa amekimbizwa hospital ya Selian Arusha kwa matibabu

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMU ZAVUNJA NDOA:ASEMA PINDI CHANA AKIWA MKOANI NJOMBE

                   Naibu waziri wa maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Dokta Pindi Chana Ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe         WASHIRIKI WA SEMINA HIYO AMBAO NI UWT PAMOJA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua warsha ya...

. Mgeni Rasmi,  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Sazi Salula akifungua Warsha kuhusu mipango ya kuhimili mabadiliko ya Tabia Nchi iliyofanyika mjini Bagamoyo. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ?Ukosefu  ama  upungufu  wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ?Ukosefu  ama  upungufu  wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MWANDOSYA AWATAKA WABUNGE WA UKAWA WAINGIE BUNGENI WAKATI RAIS...

Waziri katika Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya ametaka wabunge wote wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhudhuria bungeni kesho ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete atapoingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AUNGURUMA KWA MARA YA MWISHO KATIKA BUNGE MUDA HUU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ASEMA JIWE LA MSINGI CHUMA CHA LIGANGA LUDEWA KUWEKWA MWEZI UJAO

           chuma cha liganga na Wilayani Ludewa kilichotangazwa Kuwekwa Jiwe la Msingi Mwezi Ujao Kwa ajili ya Kuanza Kwa Zoezi la Ujenzi wa ViwandaKauli Hiyo Ameitoa Wakati Akihutubia Bunge la Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP MANGU AZINDUA NA KUKAGUA MIRADI YA POLISI TABORA, TANGA NA SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Tabora wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ:RAIS KIKWETE AVUNJA RASMI BUNGE LA TANZANIA

Rais Jakaya Kikwete Amekiri Kuwa Hakuna Namna ya Kufikisha Ujumbe Kwa Jamii Zaidi ya Vyombo Vya Habari Licha ya Changamoto Zilizopo Kati ya Serikali na Vyombo Hivyo.Kauli Hiyo Ameitoa Wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJIMBO MAPYA YA 26 YA UCHAGUZI YATANGAZWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASIASA ASIYEPENDWA NA WENZAKE KWA KUSEMA UKWELI

ANAONEKANA mbele ya macho ya baadhi ya wanasiasa ndani ya chama chake kama mwanachama mkorofi. Anachukiwa na wengine kwa sababu ya kutochunga ulimi wake.Lakini pia mwanasiasa huyu kijana anachukiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF MWANDOSYA ATOA YA MOYONI BAADA YA KUKATWA JINA KUGOMBEA URAIS

Katika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). prof Mark Mwandosya ambae alikuwa ni mmoja Kati ya wagombea urais wa CCM ambae jina lake pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI

 Picha ya 1-2 ni mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOMBE DC YAPATA MILIONI 43 KUKABILIANA NA UKIMWI

 Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ukimwi na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bwana Shaibu Masasi Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com Wa Kwanza Kulia ni Mkurugenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MAGUFULI AWASILI DAR NA KUJITAMBULISHA KWA WANANCHI

Mgombea Urais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MKOANI DODOMA WAFAFANUA KUHUSU MAMILIONI YA NOTI YALIYOKUTWA KWA...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,SACP David Misime Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Mhe. James Mbatia...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live