Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

PROF. MWANDOSYA AWATAKA WABUNGE WA UKAWA WAINGIE BUNGENI WAKATI RAIS AKILIHUTUBIA BUNGE HILO

$
0
0

Waziri katika Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya ametaka wabunge wote wabunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhudhuria bungeni kesho ambapo Rais Jakaya Mrisho Kikwete atapoingia bungeni kulihutubia na kulivunja bunge. 

 Prof. Mwandosya amesema jambo la Rais kulihutubia bunge ni suala muhimu sana hivyo si vyema mbunge ama kundi fulani la wabunge kuwepo nje ya bunge wakati Rais atakapokuwa analihutubia bunge.  

Kauli hiyo ya Prof. Mwandosya ameitoa leo Bungeni, ikiwa siku chache tu kupita tangu Mkuu wa kambi ya Upinzani bungeni ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (uKAWA) Mhe. Freeman Mbowe kusema wabunge wa umoja huo
hawatarejea tena bungeni.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles