$ 0 0 Mbunge Nasari apata ajali ya HELKOPTA Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassar amepata ajali ya helkopta na sasa amekimbizwa hospital ya Selian Arusha kwa matibabu