Leo ni siku ya kuzaliwa kwa wapendwa hawa Mapacha Alex Elias Kilamlya na Gabriel Elias Kilamlya.
Ni Jambo la Kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua tuliyonayo sasa kwani si wote ambao wamefikia umri huu.
Kuzaliwa upya kwetu Kunatufanya kurejesha fikra za zamani na kutizama upya nini cha kufanya katika malengo ya baadaye.
Kwa Uweza wake mungu tunaamini tutaendelea kupigana hadi kieleweke.