Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZZ-FREDRICK WEREMA ATANGAZA KUNG'ATUKA

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia jana, Jumanne, kufuatia sakata la uchotaji wa fedha kutoka akaunti ya ESCROW ambapo zaidi ya dola...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOMU LAJERUHI ASKARI SONGEA,LAMUUWA MLIPUAJI SIKU YA X MASS

Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake na anakotoka amefariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu huku utumbo wake ukiwa nje na mkono wake kukatika alilotaka kuwarushia askari polisi waliokuwa doria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJI WA NJOMBE WAENDELEA KUNG'AA KWA LAMI

Hii ni barabara ya kuelekea magereza Mjini Njombe  kutoka sasa muda sio mrefu huenda wakazi wa mtaa wa Nzengelendete( kambarage)  wakaanza kupata huduma ya usafili wa daladala kwani kama unavyoona lami...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA LORI LA SHABA NYORORO IRINGA, MAGARI YAKWAMA TANGU dEC 28 SAA 10 JIONI

 Watumiaji wa barabara ya Iringa Njombe wamekwama toka jana majira ya saa 10 jioni kufuatia ajali ya lori lililobeba shaba lenye namba za usajili T 261 BCM linalovuta tela lenye namba za usajili T 595...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WAFA KWA ATHARI YA MVUA KUBWA DAR

  

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwandosya akagua Miradi ya Umwagiliaji ,Busokelo, Rungwe

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Prof. Mark Mwandosya (wa pili kulia) akipata maelezo ya Mradi wa Umwagiliaji wa Mbaka.Utakapo kamilika Mradi utakuwa na uwezo wa kumwagilia hekta 600 kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA MJI NJOMBE IMEANZA KUWAAPISHA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA...

 MWANASHERIA  MSAIDIZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE  BAHATI KIKOTI HAPA NI MTAA WA MGENDELA ZOEZI LA KUAPISHWA LILIFANYIKA LEO MTAA WA NATIONAL HOUSING  NDIYO HAPA Hakimu Wa Mahakama Ya Mwanzo Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA NJOMBE UTAINGIA KWENYE HISTORIA YA DUNIA KUPITIA UTAJIRI WA LUDEWA

DOKTA KIGODA AFANYA ZIARA WILAYANI LUDEWA NA KUSHUHUDIA MADINI HAYONa Gabriel Kilamlya LudewaWaziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdalah Kigoda Amesema Anatamani Kuona Rais Jakaya Kikwete Anashuhudia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI NA LORI IRINGA YAUA ZAIDI YA WANNE LEO

Abiria  wa  basi la Panuel wakitoka  katika basi  hilo baada ya  kupata ajali  Basi  la kampuni ya Panuel lenye namba  za usajili T 919 DCD kulia  likiwa limegongana na lori usajili  T 122 ALW mali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUDEWA NJOMBE NA UTAJIRI WAKE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA NAFASI YA UNEC CCM WILAYA YA NJOMBE Christian Fwalo AFARIKI

Kada wa CCM  mjini Iringa Bw  Frederick Mwakalebela  katikati akiwa na  Chritian Fwalo kulia (enzi za uhai  wake  ) walipokutana mjini Dodoma  mwaka 2010  wakati mwakalebela alipokatwa  jina lake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA UHALIFU NJOMBE YAONGEZEKA KWA 1.65% UKILINGANISHA NA MWAKA ULIOPITA

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgency Ngonyani  .Na Michael Ngilangwa  NJOMBEJeshi La Polisi Mkoani  Njombe Limetoa Taarifa Ya  Uhalifu Wa Makosa Ya Jinai Kwa Mwaka 2013/2014 Kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO KIKUU CHA UMEME KIWANDA CHA KARATASI MGOLOLO CHALIPUKO , MUFINDI...

Transformer ya kiwanda cha karatasi mgololo yalipuka na kuwaka moto leo Magari  yakiwa  eneo la  Kiwanda  hicho  Moto  ukiendelea  kuwaka katika  eneo hilo la kiwanda cha karatasi mgogolo Wananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIFUGO YAUWAWA KWA SUMU ISIMANI IRINGA

Mifugo  mbali mbali  iliyouwawa kwa  sumu katika mgogoro wa ardhi  kijiji cha Ismani  wilaya ya  Iringa Ng'ombe  aliyeuwawa kwa  sumu Wananchi  wa Kijiji  cha Isimani  wilaya ya  Iringa  wakitazama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHA KWANZA KWA MWAKA 2015

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015.  Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA WASIA KWA VYAMA HIVYO

NA MAGRETH KINABO – MAELEZO.MSAJILI wa Vyama Vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kutekeleza wajibu wao kwa mujibu wa sheria , katiba na kanuni ili kuepusha migogoro....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI NJOMBE WASHANGAZWA KUTOSHUKA KWA BEI YA NAULI WAKATI MAFUTA YAMESHUKA

  Na Gabriel Kilamlya NJOMBEWakati Serikali Ikishusha Bei ya Mafuta Kwenye Vituo Mbalimbali Hapa Nchini,Wananchi Mkoani Njombe Wameshangazwa Kuona Hadi Sasa Nauli za Mabasi Hazijashuka.Wakizungumza Kwa...

View Article


ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NJOMBE HADI FEB 23,2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MUFINDI NA WAKURUGENZI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA RUSHWA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIA NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI YA KUANZISHWA KWA OFISI YA KUTANGAZA UTALII...

 Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live