Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015.
Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushotokwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda PICHA NA IKULU.