Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA MACHI 8, 2015

Tarehe 8 Machi, 2015 Tanzania itaungana na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Kwa mwaka huu, tunaadhimisha siku hii adhimu katika ngazi ya kitaifa ambapo mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA BARABARA MKOA WA DODOMA YAZITAKA HALMASHAURI ZA WILAYA DODOMA...

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifugua Mkutano wa bodi hiyo Feb. 17,2015 Mjini Dodoma.Wajumbe wa Bodi ya barabara ya Mkoa wa Dodoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTWARA YAISHUKURU WIZARA YA NISHATI YA MADINI KWA KUDHIBITI MMOMONYOKO WA...

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu (aliyenyoosha mkono), akimwonyesha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, jinsi maji ya bahari yalivyoathiri eneola MnaziBay, karibu na kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASASI YA “AIDS – FREE” KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI NDANI YA JESHI LA...

 Mkurugenzi wa Mradi wa "AIDS free", Bw. Samson Kironde(wa pili kushoto) akitoa maelezo mafupi namna mradi huo utakaotekelezwa ndani ya Jeshi la Magereza na Polisi katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NJOMBE DKT REHEMA NCHIMBI AWATAKA WAKULIMA KUMALIZA TOFAUTI ZAO NA...

Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi  Na Gabriel Kilamlya Njombe Mkuu Wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi Amewataka Wakulima Kwenda Kuketi Katika Meza ya Mazungumzo na Wafugaji Ili Kumaliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA WAANZA RASMI WILAYA YA NJOMBE MJINI...

Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba akiongea na wananchi.Zoezi la uandikishwaji kwa daftari la kudumu umenza hii leo na kufanyika mjini makambako pamoja na vijiji vyake ambapo mbali na watu kujitokeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAHABARI SHIRIKA LA DARAJA LETU NJOMBE AFA KWA AJALI YA GARI

Dereva wa Shirika la Daraja  Letu Akiwa Hospitali Baada ya Kupata Ajali na Kusababisha Kifo Cha Mwanahari Brito Haule Mkoani Njombe

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC-NJOMBE DKT NCHIMBI ATOA TAMKO JUU YA WAFANYABIASHARA WANAOENDELEA KUFUNGA...

Asema ataanza kupambana Nao. Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dokta Rehema NchimbiNa Gabriel Kilamlya  NjombeKitendo Cha Wafanyabiashara Kufunga Maduka Yao Kwa Kile Wanachodai ni Kuwaunga Mkono Wafanyabiashara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBINO WASABABISHA VURUGU IKULU DAR

Ikulu ya Tanzania  DAR ES SALAAMImeelezwa Kuwa Vurugu zilizofanywa na baadhi ya walemavu wa ngozi Albino katika Ikulu Jijini Dar es Salaam zimesababisha kuahirishwa kwa kikao kati ya viongozi wao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tabora wafurahia huduma za madaktari Bingwa

Na Grace Michael, TaboraWAGONJWA waliofika na kupata huduma za Madaktari Bingwa ambao wapo kwenye mpango unaoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wamefurahia huduma hizo na kusema kwamba zimeokoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MPYA WANGING'OMBE FREDRICK MWAKALEBELA AOMBA USHIRIKIANO ZAIDI TOKA KWA...

 Picha ya Pamoja na Mkuu Mpya wa Wilaya ya Wanging'ombe Fredrick Mwakalebela Katikati na Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Esterina Kilasi Aliyehamishwa Wilayani Humo Baada ya Makabidhiano Wakuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOFU YA EBOLA YATANDA MKOA WA IRINGA

Mwili  wa mgonjwa wa Ebola  ukitolewa Wodini huku Liberia picha na maktabaWAKATI ukimwa  wa ugonjwa  wa  Ebola  ukiwa  umetawala  wakazi  wa mji  wa  Iringa  mkoani  Iringa    wapo  katika  hofu  kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KIBAKWE...

Pichani Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Abdulrahman Kinana ukielekea jimbo la Kimbakwe  Wilayani Mpwapwa mapema leo asubuhi kuendelea na ziara yake ya siku 9 mkoani Dodoma ya Kuimarisha uhai wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkanyagano watokea katika kivuko Kenya

  Ripoti zinasema kuwa mkanyagano umetokea katika kivukio cha Ferry katika eneo la Likoni huko Mombasa Kenya na kusababisha mamia ya watu kujeruhiwa.Tukio hilo limejiri baada ya ferry tatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Palestina yakomesha ushirikiano na Israeli

Mamlaka ya kipalestina Palestine Liberation Organisation imekomesha ushirika wake wa usalama na Israel.Ushirikiano huo ulikuwa sehemu ya makubaliano ya Oslo mwaka wa 1993.PLO imesema kamati yake kuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOCOBA yATOA MKOPO WA TSHs. milioni 147 KWA WAKULIMA KWA AJILI YA PEMBEJEO...

Na Gabriel Kilamlya NJOMBEJumla ya Kaya 758 Mkoani Njombe Zimefanikiwa Kupatiwa Mkopo wa Pembejeo za Ruzuku za Kilimo Kupitia Benki ya Wananchi Njombe NJOCOBA.Kaya Hizo Zilizonyingi ni Zile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UANDIKISHAJI WA BVR NJOMBE KUHITIMISHWA APRILI 12,2015

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura mkoani Njombe utakamilika Aprili 12 Mwaka Huu.Kwa mujibu wa taarifa ya NEC kwa vyombo vya habari,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira : Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Town School Tabora

Huu ni Mkutano wa CHADEMA uliofanyika kwenye uwanja wa Town School Tabora (P.T)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MDANDU WANGING'OMBE WAKABIDHIWA RASMI MRADI WA MAJI

Mkuu Mpya wa Wilaya ya Wanging'ombe Fredrick MwakalebelaNa Gabriel Kilamlya Wanging'ombeSerikali ya kijiji cha Mdandu Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Hii Leo imekabidhiwa mradi wa maji Toka Kanisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDADI YA WAGANGA WALIOKAMATWA GEITA KWA UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI YAFIKIA 32

Polisi wamewakamata waganga 32 wa kienyeji kazkazini magharibi mwa jimbo la Geita katika juhudi za kukabiliana na mauaji ya Albino.Siku ya Alhamisi ,watu wanne walihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamke...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live