Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

KAMANDA WA TAKUKURU MKOA  WA  NJOMBE  AWAKEMEA MADIWANI NA VIONGOZI WENGINE KUTONUNUA  VYEO NA  KUOMBA  AU  KUTOA  RUSHWA. KAMANDA WA TAKUKURU MKOA WA NJOMBE  CHARLES NAKEMBETWA HAWA NI MADIWANI WA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

dARK mASTER aWAKUMBUKa mAREHEMU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOFANYA SHAMBULIO LA MANDERA KENYA WASAKWA

Maiti za watu waliouliwa na al-Shabaab Jumamosi asubuhi nje ya mji wa Mandera, Kenya, karibu na mpaka wa Somalia, zilipelekwa na wanajeshi hadi mjini humo.Serikali ilikuwa inajitayarisha kusafirisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU PENGO ASEMA AFYA YAKE INAIMARIKA-Maombi Yanahitajika

"Namshukuru Mwenyezi Mungu, Lakini Pia Nawashukuruni Nyote Kwa Sala Zenu Na Dua Zenu Zilizoniwezesha Hata Kusimama Hapa Mbele Yenu Saa Hizi Kama Mnavyoniona," Alisema Huku Akishangiliwa Na Mamia Ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaipongeza TPHA katika sekta ya afya nchini

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk.Margaret Mhando akifungua kongamano hilo la kisayansi. Mwenyekiti wa TPHA Taifa, Dk. Elihuruma Nangawe akitoa lecture katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKWIMU ZA UKIMWI TANZANIA

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI AMBAYO HUADHIMISHWA TAREHE 1 / 12 YA KILA MWAKA. KAULI MBIU YA MWAKA HUU INASEMA ''Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA ESCROW LAWAHUSISHA HADI MAASKOFU

Fedha zasombwa Hadi Kwenye Magunia na Maboksi.Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe Zitto Kabwe akisoma Ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (GAG) kuhusu akauti ya ESCROW...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA UKIMWI NJOMBE YAZINDULIWA KWA MAANDAMANO MAKUBWA

 Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi Sarah Dumba akiongea na vyombo vya Habari kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bi. Rehema Nchimbi kabla ya kuanza kwa maandamano kuelekea uwanja wa sabasaba mjini Njombe kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

RC-NJOMBE  DKT  NCHIMBI  AVITAKA  VYAMA  VYA  SIASA  KUTUMIA MIKUTANO YAO KUZUNGUMZIA UKIMWI NJOMBEMkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi akitoa hotuba ya ufunguzi hii leo Novemba 28, 2014Uchaguzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA...

 I:          UTANGULIZI                                    a)              Masuala ya jumlaMheshimiwa Spika,1.            Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

bREAKING nEWZZZZ,,Bunge LAAZIMIA KWA KUTOA USHAURI KWA MAMLAKA YA...

  DODOMABaada ya Mvutano Mkubwa wa Namna ya Kuwawajibisha Viongozi Mbalimbali Wakiwemo Mawaziri Waliohusika na Tuhuma Nzito ya Sakata la Wizi wa Fedha Katika Akunti ya Tegeta Escrow Hii Leo  Wabunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AREJEA NCHINI NA KUTANGAZA KUWA AMEPONA SARATANI YA TEZI DUME

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Marekani kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WATU MILIONI 30 WAFA KWA UKIMWI DUNIANI TANGU MIAKA YA 1980

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKI WA WANAHABARI SIKU YA UKIMWI KITAIFA MKOANI NJOMBE

 Baadhi ya Wanahabari Wakiwa Kazini Leo Katika Viwanja wa Sabasaba Mjini Njombe Kwenye Maazimisho ya Ukimwi Yaliyofanyika Njombe Kitaifa.Na Gabriel Kilamlya NjombeWakati Tanzania Ikiungana na Mataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA CAPTENI ALIYEFARIKI KWA AJALI YA HELKOPTA DAR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABAKAJI WAKAMATWA NA POLISI WAKIWA ENEO LA TUKIO

Polisi wa kituo cha Kiamumbi Kenya wamewakamata washukiwa watano katika maeneo ya Githurai baada ya binti mmoja kubakwa akiwa anaelekea nyumbani akiwa ameongozana na rafiki yake wa kiume ambapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YAITAKA SERIKALI KUIFANYIA KAZI MIANYA INAYOTISHIA HAKI ZA BINADAMU

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba na mkutano wa kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. REGINALD MENGI AZINDUA TASWE SACCOSS JIJINI DAR

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss) uliofanyika katika ukumbi wa St. Peter's jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA PINDI CHANA ATOA VITABU VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 10 NJOMBE LEO

Wakati Serikali Ikiendelea Kukabiliana na Changamoto Mbalimbali Zinazoikabili Sekta ya Elimu Hapa Nchini Wadau Mbalimbali  Mkoani Njombe Wameanza Kujitokeza  na Kutoa Misaada Mbalimbali Kama Jitihada...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live