$ 0 0 Hii ni barabara ya kuelekea magereza Mjini Njombe kutoka sasa muda sio mrefu huenda wakazi wa mtaa wa Nzengelendete( kambarage) wakaanza kupata huduma ya usafili wa daladala kwani kama unavyoona lami imeshaanza kutengenezwa, Picha na James Festo.