Article 2
MAPOKEZI YA LOWASSA MJINI BUKOBA Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha...
View ArticleWANASIASA WASITUGOMBANISHE WANANCHI
Wagombea UBUNGE Jimbo la Njombe Kusini Kulia ni Edward Mwalongo wa CCM na Kushoto ni Emmanuel Masonga wa CHADEMA Wakutwa Live na KAMERA ya www.gabrielkilamlya.blogspot.comKulia ni Mgombea Ubunge Jimbo...
View ArticleMAONESHO YA NDEGE ZA KIVITA WASHINGTON DMV
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na...
View ArticleZIARA YA DIGP KATIKA KISIWA CHA PEMBA
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki akitoa maelekezo ya kazi kwa Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Makame wakati wa ziara ya kikazi katika kisiwa cha Pemba wakati alipokuwa katika...
View ArticleMKAZI WA KIBENA NJOMBE APIGWA NA KUJERUHIWA KWA KUCHANA MABANGO YA DOKTA...
Yuda James Mkazi wa Kibena Anayedaiwa Kupigwa na Kujeruhiwa Mkono na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wakiongozwa na Erasto Ngole Jana.Na Gabriel Kilamlya NjombeMkazi wa Kibena Yuda James Anadaiwa...
View ArticleSIKU YA AMANI DUNIANI-NJOMBE: VYOMBO VYA HAKI VYATAKIWA KUTENDA HAKI
Bwana Kyelula[Nyepe wa Nyepe]Baadhi ya Wakazi wa Njombe Ambao wamezungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com juu ya Siku ya Amani Duniani.Na Gabriel Kilamlya NjombeWakati Tanzania Ikiungana na...
View ArticleWAANGUKA KWA UNGO KIJIJI CHA UTIGA WILAYANI WANGING'OMBE
Watu Wanaodaiwa Kuanguaka Kwa Imani za Kishirikina Wilayani Wanging'ombe Hao HapoPicha na Gabriel Kilamlya NjombeWatu Watatu Ambao Hawajajulikana Majina Yao Jinsi ya Kiume Wamekutwa Wameanguka Katika...
View ArticleJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama ChaMapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi...
View ArticleTANROAD NJOMBE WAFANYAKAZI NZURI
Mji wa Njombe Waanza Kupendeza Huku Wafanyabiashara nao Wakitajwa Kuchafua Mazingira Kwa Kuanika Nguo Zao Pembezoni Mwa Barabara.picha Na Gabriel Kilamlya Njombe
View ArticleSERIKALI KUWATUMIA MAWAKALA KUSAMBAZA PEMBEJEO ZA RUZUKU ZA KILIMO KWA ZUA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Pembejeo za Kilimo Wilaya ya Njombe ambaye Pia ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba amesema Jumla ya Vocha 78 elfu Zitasambazwa Kwa Kaya 78 Elfu Kwa Mkoa Mzima wa...
View ArticleWAISLAMU NJOMBE WATAKIWA KUSHEREKEA Eid El Hadj KWA AMANI
Imamu wa Msikiti Mkuu wa Njombe Bwana Rajab Idd Msigwa Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com juu ya Sikukuu ya Eid El Hadj. Mkurugenzi wa Mtandao huu Bwana Gabriel Kilamlya Naye Hakuwa Mbali...
View ArticleDOKTA MAGUFULI AENDELEA KULETA MPYA Tz
Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya leo kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali
View ArticleWAZIRI SELINA KOMBANI AFARIKI AKIWA NCHINI INDIA
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma nchini Tanzania Celina Kombani amefariki Akiwa Anapatiwa Matibabu Nchini India.Taarifa Zilizotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
View ArticleJESHI LA POLISI NJOMBE LAJIPANGA KUIMARISHI ULINZI WAKATI WA EID EL HADJ
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad Mutafungwa Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.comNa Gabriel Kilamlya NjombeJeshi la Polisi Mkoani Njombe Limesema Limejipanga Vizuri Katika...
View ArticleRais Kikwete akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo jioni.Rais Kikwete yupo...
View ArticleUZUSHI KUHUSU AFYA YA MKUU WA MAJESHI
Jenerali Mwamunyange mara baada ya kuwasili na kupokelewa na mwenyeji wake Rome, nchini Italia.Jenerali Mwamunyange akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake na mwenyeji wake Rome, nchini...
View ArticleTAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YAASWA KUTUMIA SEHEMU YA FAIDA WANAYOPATA...
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam(CBE) Prof.Emanuel Mjema (kushoto), akizungumza na viongozi na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo kabla ya kukabidhi msaada wa...
View ArticleDAKIKA 90 YANGA 2-0 SIMBA
KIKOSI CHA LEOSIMBA....1. Peter Manyika 2. Hassan Kessy 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Hassan Isihaka 5. Juuko Murshid 6. Justice Majabvi7. Mwinyi Kazimoto 8. Said Ndemla 9. Hamis Kiiza 10. Mussa...
View ArticleOFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA IMEPATA MSIBA WA KUONDOKEWA NA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI…….Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepata msiba wakuondokewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti yaUtumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani (Mb)...
View Article