$ 0 0 Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya leo kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali