Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

WAZIRI SELINA KOMBANI AFARIKI AKIWA NCHINI INDIA

$
0
0

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma nchini Tanzania Celina Kombani amefariki Akiwa Anapatiwa Matibabu Nchini India.

Taarifa Zilizotolewa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai Zinasema Kuwa Waziri Kombani ambaye pia alikuwa ni mbunge wa jimbo la Ulanga mashariki, amefariki jana Septemba 24, wakati akipata matibabu nchini India Alikokuwa Akipatiwa Matibabu Tangu Mwezi Mmoja Uliopita.

Ndugai Amesema Taarifa Zilikuwa Zikieleza Alikuwa Akisumbulia na Ugonjwa wa Malaria na Ndipo Alipopelekwa Nchini India Kwa Matibabu.


Selina Kombani Alizaliwa Juni 19, 1959, na alikuwa mbunge kupitia chama tawala CCM Katika Jimbo la Ulanga Mkoani Morogoro.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles