
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za
Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu,[Picha na Ikulu.]