Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA UKONGA KWENYE MAZISHI YA MBUNGE...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugen Maiposa kabla ya mazishi yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA LINDI WAMPOKEA KWA SHANGWE MHESHIMIWA BERNARD MEMBE WAKATI...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI NJOMBE WALIA NA KUFUNGWA KWA MADUKA KWA SIKU TATU MFULULIZO KUANZIA...

.KESI YA MINJA KUANZA KUSIKILIZWA DODOMA.MADUKA YATARAJIWA KUFUNGWA NCHI NZIMA.Na Gabriel Kilamlya NjombeWakati Taifa la Tanzania Likitarajiwa Kushuhudia Adha Kubwa ya Kufungwa Kwa Maduka Kwa Takribani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUMIENI HII MJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE...

WATANZANIA wametakiwa kuwatumia wasanii katika kufikishaujumbe wa masuala muhimu ya kijamii kwakuwa wasanii hao wanamvuto mkubwa kwawananchi.………………….Hayo yalisema jijini Dar es Salaam leo wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZI WA PIKIPIKI WAANZA TENA NJOMBE WAWILI WAKAMATWA MFEREKE KATA YA...

  Na Michael Ngilangwa NjombeWatu Wawili Kastory Msigwa Mwenye Umri Wa Miaka 24 Na Lukha Mgaya Mwenye Umri Wa Miaka 23 Wanaosadikika Kuwa Ni Wakazi Wa Kata Ya Matola Kijiji Cha Mtila Wamekamatwa Na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA MINJA YAPIGWA KALENDA HADI JULAI 16

Aliye Kaa Kushoto ni Mfanyabiashara wa Vyombo Mjini Njombe Kaini Nyigu Akiwa Nje ya Duka Lake Kwa ajili ya Kufungua Duka Lililofungwa Kwa Siku ya Pili Sasamilango ya maduka yaanza kufunguliwa mchana wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ASISITIZA UJENZI WA MAABARA ZA SEKONDARI MWISHO JUNI 30

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesisitiza kuwa tarehe ya mwisho (deadline) iliyotolewa na Serikali ya kusimamia ujenzi wa maabara za shule za sekondari iko palepale na akawataka watendaji wa Halmashauri na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Mkuya (Mb-aliyesimama) akitoa ufanunuzi kuhusu matumizi ya fedha za kigeni kwenye malipo ya ada kwa shule za ndani ya Nchi, wakati wa kipindi cha maswali na majibu , Bungeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ,LEONIDAS GAMA AKANUSHA KUFANYA UDALALI WA ARDHI.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gamaakizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwabungeni dhidi yake.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gamaakiwa na mkuu wa wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA VIJANA WAKATHOLIKI TANZANIA NA ZANZIBAR LAZINDULIWA RASMI LEO...

Na Gabriel Kilamlya NjombeVijana nchini wametakiwa kujiandaa na uchanguzi mkuu ifikapo octoba mwaka huuu kwa kuwa makini na viongozi wa vyama vya siasa wanaweza kutumia kundi la vijana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE AWASILI NJOMBE KUOMBA WADHAMINI

Na Gabriel Kilamlya NjombeWaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa benard membe amesema endapo watanzania watampa ridhaa ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ataimarisha mifumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII 21 KATI 50 WAANZA MAISHA YA KIJIJINI RASMI

Katibu wa SHIWATA, Selemani Pembe (Kushoto) akisaidiana na wasanii kuingia vyombo kwenye gari la mizigo ya wasanii waliohamia kijiji cha Mwanzega, Mkuranga(Picha na Mpiga Picha Wetu)Baadhi ya wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOLA MILIONI 16.4 TOKA OPEC KUNUFAISHA KAYA MASIKINI NJOMBE NA ARUSHA

 Kaimu mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akielezea hali halisi ya utekelezaji wa  shughuli za TASAF katika mkoa wa Njombe . Meneja wa miundombinu mhandisi Elisifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKARI ALIYEUWAWA NA MAJAMBAZI AAGWA JIJINI MBEYA

Mwili wa marehemu askari polisi a namba  G 2526 DC Willium Juma aliyeuwawa na majambazi June 10 mwaka huu ukiwasili nyumbani kwake ghana kwa ajili kuagwa.Marehemu DC Willium Juma enzi za uhai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA CUAMM LA KABIDHI VITENDEA KAZI KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII...

 MKUU WA WILAYA  YA NJOMBE AKIZINDUA VITENDEA KAZI HIVYO  ZIKIWEMO BAISKELI HUYU NI MUHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII KUTOKA MATIGANJORAHizi ni baadhi tu ya baiskeli za Kutembelea Kati ya Baiskeli 50...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA), DK....

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YATAKA KUWEZESHWA ZAIDI KWA SERIKALI ZA MITAA

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kushoto) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUJITOA KWA KASI WAFADHILI WA KUPAMBANA NA UKIMWI KWAWATOA JASHO VIONGOZI...

 Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Jackson Saitabau Akifungua Kikao Cha Kujadili Mapambano Dhidi ya Ukimwi Katika Ukumbi wa Mid Town Mjini Makambako Leo. Baadhi ya Wadau wa Mapambano Dhidi ya Ukimwi Mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOMBE YASHIKA NAFASI YA TATU KWA USAFI TOKA NAFASI YA KWANZA YA MWAKA ULIOPITA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI ZA VIJIJI ZATAKIWA KUHUSISHA MAAFA YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA...

Mshiriki wa Mafunzo  ya  utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini akichangia wakati wa mafunzo hayo kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live