Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16 ITUMIKE KUTAFUTA HAKI ZA WATOTO

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Mmoja Kati ya watoto nchini akiwa katika ajira mbaya 

Kesho ni siku ya Mtoto wa afrika tushirikiane kupinga ajira mbaya kwa watoto tusiwape watoto ajira mbaya tuwape elimu bora pinga ajira mbaya boresha maisha ya watoto.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Wakati Tanzania Kesho  Ikungana na Mataifa Mengine Duniani Kuadhimisha Siku

ya Mtoto wa Afrika,Jamii Imetakiwa Kuacha Tabia ya

Kuwatumikisha Watoto Kwa

Kuwapa Ajira Ngumu.

Hatua Hiyo Inakuja Ikiwa Bado Baadhi ya Watoto Wanaendelea Kupata Adha Kubwa

Kwa Kufanya Kazi Ngumu Ukilinganisha na Umri Wao Kutokana na Baadhi ya Watu

Kuendelea Kuwatumikisha Watoto.

Hali Hiyo Inapaswa Kupingwa Vikali na Watanzania Wote Ili Kuacha

Ukandamizaji na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kwa Watoto Ili Waweze Kuishi

Kwa Amani na Kupata Haki Zao za Msingi Kama Watoto.

Maeneo ya Migodini ni Miongoni Mwa Maeneo Yanaonekana Kuwatumikisha Watoto

Hao Kwa Kiasi Kikubwa Jambo Ambalo Linasababisha Watoto Hao Kukosa Haki Yao

ya Kusoma.

Hata Hivyo Sheria Zimetakiwa Kuchukuliwa Kwa Wote Wanaoendelea Kukiuka

Sheria Kwa Kuwatumikisha Watoto Hao na Kuwanyima Haki Zao Ili Kutokomeza

Kabisa Vitendo Hivyo Viovu Kwa Watoto.






















































Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles