Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo leo bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AWASILISHA BAJETI YAKE BUNGENI...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msingwa kabla ya kuasilisha bajeti yake bungeni.Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA MAPINDUZI YAOMBWA KUWAHAMISHA OMBAOMBA

Na Takdir Ali-Maelezo Zanzibar.    ………………………………….Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeshauriwa kufanya juhudi za kuwahamisha Ombaomba waliozagaa katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Mji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BURUNDI: WAANDAMANAJI WAKATA TAMAA BAADA YA MKUTANO WA DAR ES SALAAM

Mtoto huyo anaangalia jinsi askari polisi wakiondoa vizuizi viliyowekwa kwenye barabara za mji wa Bujumbura, Mei 30 mwaka 2015.Na RFIBaada ya mkutano wa marais wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

1 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.Mwenyekiti wa Kamati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

mARAIS WAKIWA KATIKA AAZUNGUMZO YA AMANI BURUNDI DAR ES SALAAM JANA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi jana.Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUBOMOKA KWA TUTA LA KIJIJI CHA JOMBWE MKOA WA KUSINI PEMBA KUNATOKANA NA...

Na Mwanaisha  Moh’d  Na Kijakazi Abdallah -Maelezo ZanzibarSerikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema sababu ya kubomoka kwa tuta Kijiji cha Jombwe Mkoa wa Kusini Pemba ni kupanda kwa kina cha maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJIRA MPYA ZA WALIMU NJOMBE BADO WALIMU HAWATOSHI.

 Zoezi la Usajiri kwa walimu wapya katika Halmashauri ya mji wa Njombe laandelea. Baadhi ya Walimu Wapya Wakisajiriwa Leo na Maafisa Toka Halmashauri ya Mji wa Njombe baada ya Kuripoti. Mwalimu Agrey...

View Article


DOKTA TITUS KAMANI,PROFESA MUHONGO NA FREDRICK SUMAYE WOTE WATANGAZA NIA YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM MCHUANO MKALI,JUNI 3,FOMU KUANZA KUCHUKULIWA NA WAGOMBEA URAIS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA.

Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwaeleza wafanya biashara kuendelea kutoa ushirikiano, utakaojenga uhusiano wa kudumu kati yao na Serikali kwa maslahi na maendeleo ya Taifa, wakati akitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMUEL SITTA ATANGAZA RASMI NIA YAKE KUGOMBEA URAIS-JUNI 3,2015

Mh Samuel Sitta akitangaza nia leo mchana Itetemia TaboraMheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA UANDIKISHAJI BVR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA WA FEDHA CHA FANYIKA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutengwe (katikati) akiwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kulia) wakiwasili kwenye ufunguzi wa kikao cha baraza la wafanyakazi la Wizara wa Fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA KUANZA ZIARA KESHO JUNE 4 KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NASSARI ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari akiwa amepanda kwenye Lori lililokuwa likibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI BAVICHA KIJIJI CHA LUANA AWATAKA WANANCHI LUDEWA KUTOMPOTEZA...

mbunge  wa  jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe  akizungumza na   baadhi ya  wananchi  wa kijiji  cha Luana waliojitokeza kuungana nae katika maendeleo ya  kuchimba mifereji ya kutolea maji katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BOHARI YA KUHIFADHI MAFUTA YA GBP MKOANI TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupokelea mafuta cha Kampuni ya GBP, wakati alipokuwa katika ziara...

View Article

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA UKONGA KWENYE MAZISHI YA MBUNGE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA JIMBO LA BUKOBA MJINI, KESHO NI MULEBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Meneja wa uwanja wa Ndege wa Bukoba Bw. Julius Mulungwana wakati akikagua ujenzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba wakati akiwa kwenye ziara yake ya...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live