Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

MWANAFUNZI ATUPIWA MAJINNI NA KUJIKUTA AKIWA UCHI GETINI KWA KAKA YAKE.Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Pasco (21) ambaye pia ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAPOTEZA NDOTO YA CHAN

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

TAIFA STARS YACHAFULIWA 3-1 NA UGANDA.Mpira umemalizika Uganda 3-1 Tanzania. Jumla 4-1David Luhende ametoka .. Vicent BarnbasIvan Ntege ndio mfungaji bao la tatu la The Cranes.Uganda wanaongeza bao la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PIKIPIKI ZAKUTANA USO KWA USO MMOJA AFARIKI NJOMBE.

 Picha ya Madereva wa Boda boda toka Maktaba yangu ambao Mwenzao amepoteza Maisha Leo baada ya Ajali Mbaya Jana Usiku majira ya Mbili Jana katika Mtaa wa Idundilanga eneo la Chaugingi Mjini Njombe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

ZAIDI YA ASKARI 3092 WAHITIMU MAFUNZO YAO MOSHI LEO.Mkoani Njombe watamwagwa zaidi ya Askari 200. Hizi ni Picha za Maonesho ya Askari Polisi wakati wakihitimu Mafunzo yao ya ccp leo Mjini Moshi. Askari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

MBUNGE WA TANZANIA ATAJWA KWENYE BARUA INAYODAIWA YA WAFUNGWA WA MADAWA YA KULEVYA WALIOFUGWA CHINA.Barua kwa lugha ya KiswahiliBarua kwa lugha ya Kiingereza.source jamii forum

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

AHUKUMIWA MAISHA JELA KWA KULAWITI MPANDA.Mahakama  ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka  Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi  wilayani humo, kifungo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

WANACHI WAKIKOMESHA VITENDO VYA WIZI NCHINI.   Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenusurika kifo kwa kupigwa kipigo cha maana, na wananchi wenye hasira baada ya kutuhimiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

NG'O YA UPENDO NYOMBO YATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA NJOMBE.Na Prosper Mfugale Shiriki Lisilo la Kiserikali la Upendo Nyombo Linalojihusisha na Utoaji wa Hudua Kwa Watoto Yatima na Wanaoishi Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

"NIPO TAYARI KUJIUZULU ENDAPO ITABAINIKA NAUZA MADAWA YA KULEVYA'MBUNGE WA CCM (IDD AZZAN) ANENA. MBUNGE wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge, ikiwa itabainika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI NJOMBE WATAKIWA KUJITEGEMEA BADALA YA KUSUBIRI AHADI ZA WANASIASA.

 Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji wa Njombe bwana Sadolt Kaijage amezungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com juu ya Ujenzi wa Zahanati ya mtaa wa SIDO Ambayo hadi sasa Imesimama baada ya Kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

MATUKIO YA KUJINYONGA YAENDELEA KUTIKISA MKOANI NJOMBE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani akizungumza na Mwandishi wa Mtandao wa www.gabrielkilamlya.blogspot.com Juu ya Matukio hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

DC WANGING'OMBE NJOMBE AAGIZA UONGOZI WA KIJIJI CHA KORINTO KUWASOMEA Taarifa ya  MAPATO NA MATUMIZI WANANCHI MWEZI HUU.Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Bi.Esterina Kilasi pia amemuagiza afisa Tarafa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

uJuMbE wA bOdA bOdA nJoMbE lEo.Mwisho wa Kunukuu!!!!!!!!!!!!!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

ABIRIA STENDI KUU YA MABASI MJINI NJOMBE WATAKA TARATIBU ZIFUATWE.Abiria Wanaotumia Kituo Kikuu Cha Mabasi Mjini Njombe Wameiomba Serikali Kuongeza Askari wa Ukaguzi wa Magari na Kuhimiza Matumizi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

MTOTO ATELEKEZWA MKOANI IRINGA.Mwenyekiti  wa  serikali ya mtaa wa Ndiuka  A akionyesha  dawa  za mtoto huyo Mtoto  aliyetelekezwa Polisi wakifika eneo la  tukio Polisi wakiingia  kwa mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 15

APIGWA MIAKA 30 JELA KWA KUBAKA NA KUMLAWITI KISHA KUMZALISHA BINTI YAKE MBEYA.Yusufu Amani (39) aliyembaka mwanaye wa kumzaa kisha kumzalisha baada ya kutengana na mkewe Afungwa miaka 30Hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

JACK WOLPER NA MHE.HALIMA MDEE WAZICHAPA NA KU DROO.NI SIASA VS BONGO MOVIESHINDANO LIMEISHA KWA KUTOKA DROOJACKLINE WOLPER ULINGONIMh. Nassari na mashabiki wengine wa Mh. Mdee wakiwa wamembeba bondia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

WANAFUNZI WA SEKONDARI YA JOSEPH MBEYELA HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO KWA UPUNGUFU WA VYOO MJINI NJOMBE.Afisa Elimu Sekondari Katika Halmashauri ya Mji wa Njombe Bwana Venance Msungu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

MAMA AJICHOMA MOTO PAMOJA NA WATOTO WAKE KISA MAPENZI.  Mama wa Kasarani ajiteketeza na wanawe juu ya mapenzi. Chanzo Mpekuziblog.

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live