Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 7

$
0
0
WANACHI WAKIKOMESHA VITENDO VYA WIZI NCHINI.
 
 
 Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amenusurika kifo kwa kupigwa kipigo cha maana, na wananchi wenye hasira baada ya kutuhimiwa kuiba kwenye nyumba moja ya mkazi wa eneo la Mbezi Darajani, Kawe, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo mchana. Pichani, wananchi wakimsulubu kwa bakora.
 Wakimsulubu kwa bakora
 Mwingine akabuka na tofali na kumwezeka nalo mtuhumiwa huyo kichwani
 Ikawa mshike mshike huku wakimvuta kumpeleka kituo cha polisi
 Huyu naye akaamua kucharaza teke la kimazoezi
 Hawa twende polisi...
Mtuhumiwa huyo akawa taaban na kuanguka, hatua iliyowafanya wananchi kutawanyika wakidhani wamemuua..chanzo Francis Godwin Iringa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles