Article 5
NAIBU WAZIRI WA UJENZI AANGUKIA KWENYE UJENZI NJOMBE. Wananchi wa Kijiji Kipya cha Kidugala wakiwa Juu ya TANURI la Tofari wakimsikiliza Mbunge wao Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiweka...
View ArticleArticle 4
JK AONGOZA KUAGA MIILI YA WANAJESHI WALIOFARIKI DARFUL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akitia saini katika Kitabu cha Maombolezo ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la...
View ArticleKESI YA KUUWA BILA KUKUSUDIA IMEENDELEA KUSIKILIZWA MAHAKAMANI NJOMBE.
Mahakama ya wilaya ya njombe imeendelea kusikiliza kesi ya ku-uwa bila kukusidia, inayomkabili Hilolusi Mwapinga mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Lusitu mkoani Njombe.Akisoma Hati ya mashitaka...
View ArticleArticle 2
WANANCHI WAWACHONGEA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA KWA MBUNGE. Mbunge wa makete Dokta Binilith Mahenge Akipokea kero kwa wananchi wake. Wananchi wa Wilaya ya Makete waliowasemelea watendaji wa Vijiji na...
View ArticleArticle 1
SENGA NA PEMBE WATIFUA ARDHI YA NJOMBE. Wachekeshaji Maarufu Nchini TANZANIA Senga na Pembe wafanya kufuru Njombe. Msanii Maarufu wa Nyimbo za Injili Tanzania anayetamba na Wimbo wa Chaguo lako...
View ArticleArticle 0
WAFANYABIASHARA NJOMBE WAHAKIKISHIWA ULINZI NA USALAMA KTK BIASHARA ZAO. Meneja Uhusiano Mikopo NMB Makao Makuu Bwana Dickson Pangamawe akiwasilisha Mada Kwa wanachama wa NMB BUSINESS CLUB Njombe leo...
View ArticleArticle 3
VIJANA WAUANA JIJINI MBEYA kisa Mapenzi.Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa...
View ArticleArticle 2
MILIONI 700 ZATENGWA UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI MJINI NJOMBE. Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Njombe Mjini ukiendelea Kujengwa kwa Kiwango Cha Lami Kwa Kilomita Mbili nyingine.Kilomita Mbili...
View ArticleArticle 1
WASOMI WATAKIWA KUTUMIA ELIMU WANAYOIPATA. Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akifungua mdahalo wa wazi Asasi isiyo ya kiserikali ya Community Integrated Communication ana...
View ArticleArticle 0
WATATU MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI MKOANI NJOMBE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani akizungumza na Mwandishi wa Mtandao huu Ofisini Kwake Juu ya Watuhumiwa hao Leo.Na Michael...
View ArticleArticle 2
UTOVU WA NIDHAMU WAWATIMUA KAMBINI ASKARI 117.Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Waliotupiwa...
View ArticleArticle 1
ZAHANATI YAFUNGWA KWA SIKU KADHAA KWA KUKOSA WATUMISHI KIJIJI CHA IKONDO NJOMBE.MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE KASKAZINI DEO SANGA AKIONGEA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA IKONDA LEO KIJIJINI HAPO TAARIFA YA KATA...
View ArticleArticle 0
NANE NANE 2013 NJOMBE USAFIRI CHANGAMOTO.Na Gabriel KilamlyaWakati Maonyesho ya Siku ya Wakulima Maarufu Kama Nanenane Yakitarajiwa Kuanza Kote Nchini Agosti Mosi Mwaka Huu Baadhi ya Halmashauri za...
View ArticleArticle 4
KESI YA DIWANI WA KATA YA RAMADHANI IMEENDELEA KUPIGWA KALENDA NJOMBE.Diwani wa Kata ya Ramadhani Bwana Alfred Luvanda Ambaye Alishambuliwa na Kujeruhiwa na Katibu Mwenezi wa Kata Hiyo Bwana Erasto...
View ArticleArticle 3
KIKOSI CHA ZIMA MOTO NA UOKOAJI CHAPEWA MAELEZO TOFAUTI JUU YA MWANAFUNZI KUZAMA KWENYE BWAWA MATEMBWE NJOMBE. Picha toka Maktaba yetu ya Msanii wa Kibena aliyezama kwenye Maji katika Bwawa la...
View ArticleArticle 2
KUMBUKUMBU YA MASHUJAA YAWASHTUA WAKAZI WA IRINGA BAADA YA MILIO YA RISASI KUPIGWA.Askari wa jeshi la kujenga Taifa (JWTZ) wakipiga risasi hewani kutoa heshima kwa mashujaa hao Askari mstaafu...
View ArticleArticle 1
ALIYEVUNJWA REKODI KWA KUNUKA DUNIANI HUYU HAPA.Mr Singh. Mr Kailash Singh picha ambayo ilipigwa mwaka 1984. HAKIKA tunaweza kuyaita mafanikio ya ajabu kwa mzee huyu kutokana maamuzi yake.Labda...
View ArticleArticle 0
JK ASEMA KICHAPO KWA WATAKAO TUINGILIA KITATEMBEZWA. Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa wale wanaoitishia Tanzania. Amewaambia wakithubutu watakiona cha mtemakuni kama ilivyokuwa kwa Idd Amin wa...
View ArticleArticle 7
MTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG. Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya ilivyokuwa hapo awali kutokana na matukio ya...
View ArticleArticle 6
BABA NA MAMA WAUA MTOTO WAKATI WAKIGOMBANA SUMBAWANGA.Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wakati wanapigana kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda...
View Article