Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Njombe Mjini ukiendelea Kujengwa kwa Kiwango Cha Lami Kwa Kilomita Mbili nyingine.
Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com imezungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Hiyo Bwana Venance Msungu ambaye amesema kuwa Barabara hizo za Kilo Mita Mbili zilizoanza Kujengwa Kwa Kiwango cha Lami zimetengewa Bajeti ya Shilingi Milioni Mia saba Nyingine Baada ya Shilingi Milioni Mia Saba nyingine kuendelea Kutumika katika Ujenzi wa Barabara ya Kilomita Mbili za Kiwango cha Lami.