USHAHIDI wA KESI YA MUWAJI YA MWANAHABARI MWANGOSI KUENDELEA JUMA TATU
Mahakama kuu kanda ya Iringa imehairisha kesi ya aliyekuwa yamtuhumiwa wa mauaji ya mwaandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi jumatatusaa sita mchana baada ya mahakama kuchukua maoni ya wazee wa...
View ArticleDK. MENGI ACHANGIA MADAWATI 1,000, ATOA SOMO KWA WATU MATAJIRI
Katika kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli za kuhakikisha tatizo la madawati nchini linamalizika hadi kufikia Juni, 30 mwaka huu, Mkurugenzi Mkuu wa Mashirika ya IPP, Dk. Reginald Mengi ametoa...
View ArticleDC WANGING'OMBE:NITANG'OOKA NA WATENDAJI WATAKAONIKWAMISHA KWENYE MADAWATI
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Dokta Asumpta Mshama Asema Atawatanguliza Maofisa Watendaji watakaoshindwa kukamilisha utengenezaji madawati ndipo yeye afuateNa Gabriel Kilamlya...
View ArticleMKUTANO WA NNE WA MWAKA WA WANASAYANSI WAFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS SAMIA...
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa mwaka wa wanasayansi kutoka ndani na nje ya nchi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili...
View ArticleWAKAZI WA KIJIJI CHA MTEWELE WAISHIO MAKAMBAKO WASAIDIA MADAWATI WILAYA YAO...
Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Dokta Asumpta Mshama Akiwa na Wakazi wa Kijiji cha Mtewele pamoja na WanafunziBaadhi ya wakazi wa kijiji cha Mtewele Wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye picha ya Pamoja...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AKUTANA NA WAZIRI KUTOKA MALAYSIA NA MAKAMU...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na Waziri asiye na Wizara Maalum katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia na Mkurugenzi Mtendaji wa kitengo kinachoshughulikia masuala ya...
View ArticleWaziri mkuu wa Uingereza KUJIUZULU BAADA YA SIKU 90
Image copyrightGETTYImage captionWaziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwaWaziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa...
View ArticleRC MASENZA AKWEPA ADHABU YA RAIS DR MAGUFULI ,ATEKELEZA AGIZO LA MADAWATI
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akitazama madawati yaliyokamilika kulia ni afisa habari wa Manispaa ya Iringa Sima BingilekiMkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia akimkabidhi...
View Article10 WAJERUHIWA KWA AJALI YA BASI MKOANI IRINGA
Eneo la ajali kona ya kisima cha bibiDamu zikiwa zimetapakaa eneo la tukio baada ya kumtoa majeruhi aliyekuwa hoi kwa kubanwa na gariWananchi wakitazama ajali hiyoBaadhi ya majeruhi wa...
View ArticleRIPOTI YA KUUNGUA KWA VIAZI MVIRINGO NJOMBE HADHARANI
TAARIFA YA UCHUNGUZI WA UGONJWA WA UKUNGU WA VIAZI MVIRINGO MKOA WA NJOMBEAfisa Kilimo Mwandamizi Halmashauri ya Mji wa Njombe Nolasco Kilumile Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com juu ya...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE HUENDA IKAFUTWA KWA KUTOFIKIA 80% YA...
Katibu tawala Wilaya ya Njombe Joseph Chota atoa ripoti ya mwenendo wa Ukusanyaji mapato ya Ndani Katika Halmashauri tatu za Wilaya yake ya Njombe Na Gabriel Kilamlya NJOMBEHalmashauri ya Wilaya ya...
View ArticleBILIONI 3.2 KUJENGA MAJENGO YA WAGONJWA WA NJE[OPD]MKOA WA NJOMBE
Mkandarasi wa kampuni ya kichina ya SIETCO Akikabidhiwa Nakala ya mkataba wa ujenzi wa Wodi ya wagonjwa wa Nje[OPD] Mkoa wa Njombe baada ya kusainiwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe mwenye kitambaa kichwani...
View ArticleTakukuru na TRA wataja mwizi EFDs
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Valentino MlowolaMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hatimaye wametaja mfanyabiashara ambaye...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA PANDAHILL PATAKAPOCHIMBWA MADINI ADIMU...
Mkurugenzi wa kampuni ya Pandahil limited ndg Derick ambayo ndiyo inahusika na uchimbaji wa madini ya adimu aina ya Niobium ambayo hutumika kutengeneza Ndege na computer katika eneo la Songwe Gerezani...
View ArticleTOUR YA WASANII KATIKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
Msaani wa muziki wa Bongo Flavour Linex Linenga Akiwa na Mmiliki wa Mtandao huu Gabriel KilamlyaWa Pili Toka Kulia ni Msanii wa HIP HOP Tanzania Kalah Jeremiah Akiwa mjini Njombe kwa ajili ya show...
View ArticleMBUNGE WA MAKAMBAKO DEO SANGA[JAH PEOPLE]AGAWA PIKIPIKI NA BAISKELI KATIKA...
Baadhi ya Pikipiki zilizotolewa na mbunge wa Makambako Deo Sanga[JAH PEOPLE]Kwa wakazi wa Jimbo la Lupembe ambalo awali lilikuwa Jimbo Lake Kabla ya Kugawanywa. Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ccm...
View ArticleMizengwe YADAIWA KUSUKWA Kumng’oa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai
Wakati Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kujadili ajenda kadhaa ikiwamo ya Rais John Magufuli kukabidhiwa uenyekiti wa chama ngazi ya taifa, baadhi ya wajumbe wameanza kupika zengwe...
View ArticleMhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Asimamishwa Kazi Kwa Kosa la Kulipa Malipo...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Frank Charles Msaki kutokana na makosa ya kufanya malipo hewa yaani kulipa...
View ArticleKijana apachikwa jina ‘Mkereketwa wa Mwendokasi’ baada ya kumfanyia DUA Rais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni katika ziara zake alikutana na kijana aliyemshangilia kwa nguvu zake zote hali ambayo ilimfanya mkuu huyo wa nchi kumwita...
View ArticlePolisi Watano wauawa katika maandamano ya kupinga mauaji ya Weusi Marekani
Askari watano wa Jeshi la Polisi jana waliuawa kwa kudunguliwa na mtu asiyejulikana mitaa ya Dallas nchini Marekani, wakati wa maandamano makubwa ya kupinga mauaji ya watu wawili weusi yaliyofanywa na...
View Article