Mahakama kuu kanda ya Iringa imehairisha kesi ya aliyekuwa ya
mtuhumiwa wa mauaji ya mwaandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi jumatatu
saa sita mchana baada ya mahakama kuchukua maoni ya wazee wa baraza.
mtuhumiwa wa mauaji ya mwaandishi wa habari Daudi Mwangosi hadi jumatatu
saa sita mchana baada ya mahakama kuchukua maoni ya wazee wa baraza.
Jaji huyo Paulo Kihwelo mara baada ya kuhairisha kesi hiyo alisema mahakama
imeamua mambo matatu amabayo ni kuwa mahakama imekubali ombi hilo kutela
majuisho kwa njia ya maandishi.
imeamua mambo matatu amabayo ni kuwa mahakama imekubali ombi hilo kutela
majuisho kwa njia ya maandishi.
Mbili mahakama iimepanga shauri hilo kwa ajili ya kupokea majumuisho ya
wazee wa baraza ambayo yatakuja Juni 27 saa sita mchana ya kesi nzima.
wazee wa baraza ambayo yatakuja Juni 27 saa sita mchana ya kesi nzima.
Tatu baada ya kusikiliza majumuisho ya wazee wa baraz mahakama itapanga iku
ya kutoa hukumu ya kesi hiyo ambapo Jaji Dk Kihwelo alihairisha shauri hilo
hadi Jumatatu mchana majira ya saa sita mchana.
ya kutoa hukumu ya kesi hiyo ambapo Jaji Dk Kihwelo alihairisha shauri hilo
hadi Jumatatu mchana majira ya saa sita mchana.
Pia mtuhumiwa amemaliza kutoa ushahidi wake mbele ya mahakama kuu kanda
ya Iringa na kuieleza mahakama hiyo kuwa alilazimishwa kusaini ungamo
mbele ya mlinzi wa amani bila kujua nini kilichoandikwa.
ya Iringa na kuieleza mahakama hiyo kuwa alilazimishwa kusaini ungamo
mbele ya mlinzi wa amani bila kujua nini kilichoandikwa.
Shahidi huyo ambaye ni mtuhumiwa mwenyewe Pacificus Cleofas Simon alisema
kuwa baada ya kutoka kuhojiwa kwa RPC na RCO akifafananishwa na picha ya
gazeti la mwananchi la sep 3,2012 mtuhumiwa alikataa kuwa sio yeye na
baadaye kupelekwa kufanya ungamo kwa mlinzi wa amani Frola Mhelela ambaye
alikuwa shahidi namba tatu.

Wakati anaelekea kwa mlinzi wa amani alisindikizwa na staff sajent Erick
ambaye alikuwa ameshika bahasha na kumkabidhi mlinzi wa amani .
Alisema kuwa wakati akitoa maelezo hakuwa na amani na uhuru kwa sababu
tayari mlinzi wa amani alikuwa kashapewa bahasha hiyo.
Mlinzi alipokea bahasha hiyo na kutoa karatasi na kuisoma baadaye
alimuambia aisaini naye bila kuhoji alisaini ile karatasi kwa sababu
ilitoka kwa kiongozi wake ambaye ni RCO ,Nyegesa Wankyo.
Katika kesi hiyo wakili wa utetezi Rwezaura Kaijage aliiomba mahakama
kwamba kesho(leo )mawakili wa upande wa Jamhuri wataleta majumuisho ya
mwisho majira ya saa nane mchana kama jamhuri hawatakuwa na pingamizi na
majumuisho hayo yatatolewa kwa njia ya maandishi.
Hata hivyo upande wa jamhuri ambao uliongozwa na wakili mkuu wa serikali
Sunday Hyera pamoja na wakili mwandamizi Ladislaus Komanya walisema kuwa
hawana pingamizi lolote juu ya upande wa utetezi hivyo kesho (leo) mawakili
hao baada ya kukaa na kukubalina kwa pande zote mbili saa nane mchana
walete majumuisho hayo.
Jaji wa mahakama kuu kanda ya Iringa Dk.Paulo Kihwelo alisema kuwa baada ya
kufunga rasmi utetezi, na baada ya ombi la utetezi kukamilika mahakama
imekubali ombi la hilo kuwa mawakili walete majumuisho yao leo saa nane
mchana lakini mahakama imeamua mambo