Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

WAKAZI WA KIJIJI CHA MTEWELE WAISHIO MAKAMBAKO WASAIDIA MADAWATI WILAYA YAO YA WANGING'OMBE

$
0
0


 Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Dokta Asumpta Mshama Akiwa na Wakazi wa Kijiji cha Mtewele pamoja na Wanafunzi

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mtewele Wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye picha ya Pamoja  na mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe Dokta Asumpta Mshama Baada ya Kumkabidhi madawati.

Zoezi la ugawaji madawati limefanyika na baadhi ya wakazi wa kijiji hicho cha mtewele wanaoishi katika Mji wa Makambako Kwa lengo la Kusaidia Shule ya Msingi mtewele .

Aidha Pia Kazi hiyo imefanyika chini ya mradi wa JSI Kupitia ustawi wa jamii ambapo kila kijiji kimetoa kijana mmoja atakaye kuwa msaidizi wa Afisa ustawi wa Jamii wa kata ikiwa wameanza kupata Semina ya Siku 10 tangu Juni 19 hadi julai 1 mwaka huu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles