Katibu tawala Wilaya ya Njombe Joseph Chota atoa ripoti ya mwenendo wa Ukusanyaji mapato ya Ndani Katika Halmashauri tatu za Wilaya yake ya Njombe
Na Gabriel Kilamlya NJOMBE
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Huenda Ikaenda Kufutwa Kama Serikali Kuu Ilivyoagiza Kuwa Kwa Halmashauri Itakayoshindwa Kukusanya Mapato ya Ndani Kwa Asilimia 80 Hadi Ifikapo Juni 30 Mwaka Huu Itafutwa Kutokana na Kufikia Takribani Asilimia 70 Pekee Hadi Sasa.
Taarifa Iliyotolewa na Katibu Tawala Wilaya ya Njombe Joseph Chota Wakati Kituo Hiki Kilipofika
Kupata Ripoti Hiyo Imeeleza Kuwa Katika Wilaya ya Njombe ni Halmashauri Moja Pekee ya Wilaya
Ambayo Hadi Sasa Haijafikia Asilimia 80.
Aidha Amepongeza Jitihada Zilizofanywa Katika Halmashauri za Mji wa Makambako na Mji Njombe
Kuvuka Agizo Hilo Kwa Mbinu Mbalimbali Licha ya Changamoto Kubwa Zilizokuwepo Huku Akisema
Kumegwa Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Kuzalisha Halmashauri Nyingine Tatu za
Wangin'ombe,Njombe Mji na Mji wa Makambako Ni Miongoni Mwa Sababu Zilizosababisha Kukwama
Kufikia Kwa Asilimia Hizo.
Katika Hatua Nyingine Ameiagiza Halmashauri Hiyo Kuongeza ubunifu Katika Kuongeza Vyanzo
Vipya Vya Mapato Pamoja na Wakusanyaji wa Mapato Hayo Kuhakikisha Wanaacha Visingizio Vya
Mtandao Wakati wa Utoaji Risiti ya
Mfumo wa Mashine ya Kielektroniki.
Wakati wa Kuahirisha Mkutano wa Tatu wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Hii Leo Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa Ameagiza Halmashauri Kuongeza Kasi Ukusanyaji Mapato Hayo Ikiwa ni Pamoja na Udhibiti
wa Upotevu wa Mapato Hayo.