Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Stanbink Benki Tanzania yatakiwa kuilipa Serikali zaidi ya bilioni 13 kwa...

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue akiongea na Waandishi wa Habari leo 01 Disemba, 2015 katika Ofisi ya Mawasiliano Ikulu kuhusu Tanzania kurejeshewa dola za Marekani milioni 7 katika kesi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI AFANYA ZIARA TRL

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka akizungumza na waandishi wa habari wakati alipofanya  ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL)ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAVVU NJOMBE WALIA NA MANYANYASO TOKA KWA WAHUDUMU

 Mkurugenzi wa Shirika Lisilo la Kiserikali la SHISO Linalojishughulisha na Utoaji Elimu na Ufuatiliaji wa Miradi Mbalimbali Kwa Watu Wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI Katika Halmashauri ya Mji wa Njombe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Balozi Sefue kuhusu kurejeshwa fedha

Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Ombeni Sefue akitoa taarifa ya serikali kuhusu kesi ya SFO dhidi ya Standard Bank.…………………………………………………………………………………………………………Utangulizi1.1    tarehe 30 Novemba, 2015, mahakama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI NANE WA TRA WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mshitakiwa namba moja katika kesi ya kuhujumu uchumi, Tiagi Masamaki (katikati) na washitakiwa wenzake wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo mchana baada ya kusomewa mashitaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa 10 wa uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwa nchi za...

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akifunga Mkutano wa 10 wa  uhamaji kutoka mfumo wa Analogia kwenda Digitali kwanchi zaJumuiya ya Maendeleo ya Nchi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGEREZA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI KATIKA MIAKA 54 YA UHURU WA TANGANYIKA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza John Minja akiwasilia katiki viwanja vya Magereza Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya hafla ya kukabishi bendera kwa watumishi 39 wa Jehi hilo wanaotarajia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI Mpya WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE VALENTINO HONGORI LEO...

  HUYU NDIYE MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE VALENTINO HONGORI AKIHUTUBIA MADIWANI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI  MBUNGE WA JIMBO LA LUPEMBE  JORAM HONGORI AKITOA NASAHA MBELE YA MADIWANI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO NJOMBE WATAKIWA KUJIFUNZA TANWATT JUU YA NGUZO ZA UMEME ZINAZOZALISHWA

KatibuMkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Juma Uledi Atembelea Kiwanda Cha TANWATT Kibena Njombe wa Pili Toka KushotoNJOMBEShirika la Umeme nchini Tanzania TANESCO Mkoa wa Njombe limetakiwa kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WA SKULI MBALI MBALI ZA WILAYA WAPATIWA MAFUNZO YA MICHEZO NA KAMATI...

Mkufunzi wa Mafunzo ya Walimu wa Michezo wa Skuli yaliyoandaliwa na   Kamati ya  Olimpiki Tanzania  (TOC) Suleiman Mahmoudu Jabiri  akitowa maelezo kwa washiriki  katika siku ya mwisho ya mafunzo hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA,...

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne  Sagini  wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo  katika mkutano wa kikazi uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BODA BODA USIKU HUU IRINGA

Dereva bodaboda ambae jina lake halikuweza kupatikana akiomba msamaha baada ya kupigwa na wananchi kwa kosa la kumgonga Mzee mwendesha baiskeli Eneo la Mwang'ingo Mjini Iringa barabara kuu ya Iringa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli atangaza baraza la mawaziri

Image copyrightStatehouse TanzaniaImage captionDkt Magufuli amesema bado anatafuta watu wa kujaza nafasi nneRais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo kwa sasa lina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMO WA WAFANYAKAZI WA UPANUZI WA BARABARA DHIDI YA KAMPUNI YA KICHINA...

 Wafanyakazi wa Upanuzi wa Barabara wakizungumza na Vyombo Vya Habari Leo Mlinzi wa Kampuni Hiyo ya Kichina Iliyozua Hali ya Sintofahamu Dhidi ya Wafanyakazi Wake  wa Kwanza Kulia ni Meneja Mradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Kiongozi awaasa watanzania kuzingatia Maadili katika Utumishi

Na Jacquiline Mrisho -MAELEZO Watanzania wameaswa kuzingatia Maadili ya Kitaifa ambayo ni kiini cha kuboresha na kusimamia maadili ya viongozi, watumishi wa Umma na watu wanaojishughulisha na sekta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA VITENDO WAKATI WA KUHITIMISHA MAFUNZO YA AWALI KWA WAHITIMU WA...

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi IRINGA

Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi. Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MUHONGO ATEMA CHECHE Awataka TANESCO kufanya kazi

Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuacha mara moja tabia ya kukata umeme bila sababu ya msingi.Agizo hilo limetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nishati na Madini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 10 wauawa kwenye mapigano Somalia

Habari kutoka Somalia zinasema kuwa, takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mapigano yaliyotokea katika mji wa Beledweyne nchini Somalia.  Habari zaidi zinasema kuwa, mapigano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ICTR kutoa hukumu ya mwisho leo ARUSHA

  Baadhi ya majaji wa Mahakama ya ICTR Arusha Tanzania wakisikiliza moja kesi za mauaji ya Rwanda. Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) iliyokuwa ikishughulikia kesi za mauaji...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live