Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

AJALI YA BODA BODA USIKU HUU IRINGA

$
0
0


Dereva bodaboda ambae jina lake halikuweza kupatikana akiomba msamaha baada ya kupigwa na wananchi kwa kosa la kumgonga Mzee mwendesha baiskeli Eneo la Mwang'ingo Mjini Iringa barabara kuu ya Iringa -Dodoma usiku huu
Askari wakiwa wamempakia dereva bodaboda katika Gari la Polisi huku wakiendesha bodaboda kwenda Kituo cha Polisi leo katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha zaidi ya mwendesha Baiskeli kujeruhiwa
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles