
Ripoti zinasema kuwa mkanyagano umetokea katika kivukio cha Ferry katika eneo la Likoni huko Mombasa Kenya na kusababisha mamia ya watu kujeruhiwa.
Kulingana na ripoti hizo Ferry zilizosalia zimeshindwa kuhudumia idadi kubwa ya watu wanaotumia kivuko hicho pamoja na ile ya magari.
Hatua hiyo imesababisha msongamano mkubwa wa watu katika kivuko hicho.
CHANZO:bbcswahili