Na Gabriel Kilamlya NJOMBE
Jumla ya Kaya 758 Mkoani Njombe Zimefanikiwa Kupatiwa Mkopo wa Pembejeo za Ruzuku za Kilimo Kupitia Benki ya Wananchi Njombe NJOCOBA.
Kaya Hizo Zilizonyingi ni Zile Zinazojishughulisha na Kilimo Cha Mahindi na Chache Kilimo Cha Mpunga Hususani Zilizopo Mfumbi Wilayani Makete Ikiwa Mkopo Huo Umehitimishwa Februari 22 Mwaka Huu Kwa Mujibu wa Msimu wa Kilimo.
Akizungumza na www.gabrielkilamlya.blogspot.com Afisa Mwandamizi wa Mikopo wa Benki ya Wananchi Njombe Bwana Danford Mfikwa Amesema Kuwa Mikopo Hiyo Imetolewa Katika Wilaya Zote za Mkoa wa Njombe Licha ya Kushindwa Kufikia Lengo Lililowekwa.
Bwana Mfikwa Amesema Hadi Sasa Wamefanikiwa Kutoa Mkopo wa Shilingi Milioni 147 Kati ya Shilingi Milioni 285 Zilizopangwa Kutolewa.
Akielezea Sababu za Kushindwa Kutoa Mikopo Kwa Wakulima Wote Kadri ya Maombi Yaliyowasilishwa Mfikwa Amesema Imetokana na Kuchelewa Kwa Waraka Toka Serikalini Kwani Benki Hiyo Imeanza Rasmi Kutoa Mikopo Hiyo Disemba Mosi Mwaka Jana Itakayochangiwa na Serikali Katika Riba Wakati wa Urejeshaji wa Mkopo Huo.
Aidha Amesema Miongoni Mwa Sababu Zinazodhaniwa Kuchangia Kushindwa Kufikia Lengo Hilo Ni Pamoja na Elimu Ndogo Juu ya Mkopo Huo Kwani Inaonesha Watu Wengi Walishindwa Kupata Elimu Hiyo Toka Taasisi Zinazohusika.
Tatizo la Soko Ambalo Limekuwa Gumzo Kwa Wakulima Wengi Nchini Tanzania Hususani Kwa Msimu wa Kilimo Ulioisha Limekuwa Kikwazo Kwa Wakulima Hao na Kwamba Katika Mazao ya Sasa Kipaumbele Kitakuwa Kwa Wakulima Wale Waliokopeshwa na Benki Hiyo.