Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MABANDA YASUASUA KUBOMOLEWA NYUMA YA STENDI NJOMBE. WAFANYABIASHARA WAKIENDELEA NA KAZI YA  KUFANYA BIASHARA  NA HAPA WAPO KUPANGA NGUOHaya ni Maeneo Ambayo Yanatakiwa Kubomolewa na Kupangwa Upya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA AMANI MKOANI ARUSHA

   Wadau wa amani wakiwa jukwaa kuu wakiwa wanafuatilia matukio mbali mbali ya maadhimisho ya kuutakia amani mkoa wa Arusha baada ya kukumbwa na matukio mbali mbali yaliotokea baada ya uchaguzi mkuu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

KINANA AKWEA KWA TRENI MAKAMBAKO LEO ASUBUHI BAADA YA ZIARA YAKE MKOANI NJOMBE.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya walimu na viongozi wa vyuo vya elimu ya juu alipowasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU DAR YAFANA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi alipokua akiwasili uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

HII NDIO SAFARI YA KINANA TOKA MAKAMBAKO NJOMBE-DAR Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akipanda behewa na wasaidizi wake, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiani wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE YUKO AFRIKA YA KUSINI KWA AJILI HESHIMA ZA MWISHO KWA MZEE MADIBA.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

WADAU WA NISHATI YA UMEME WA MAPOROMOKO YA MAJI NJOMBE WAAHIDI KUFANYA MAKUBWA BAADA YA MAFUNZO. Wadau wa Nishati ya Umeme wa Maporomoko ya Maji Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja Kwenye Mitambo ya Mradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAZINDUA MRADI WA KUIJENGEA UWEZO JAMII MIKOA YENYE UKAME

Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo WaKupunguza Athari Za Maafa Kwa Mikoa Iliyoathirika Zaidi Na Ukame Bw. HarrisonChinyuka akifafanua jinsi Mradi huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA LEO YAHUDHURIWA NA RAIS KIKWETE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 6

RWANDA - INGABIRE KaFUNGWA MIAKA 15 JELA.Mahakama ya juu zaidi nchini Rwanda imeendeleza hukumu ya kwanza aliyopewa kiongozi wa upinzani nchini humo Victoire Ingabire na kuiongeza kutoka miaka 8 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE YAAHIDI KUENDLEA KUONGOZA KWA USAFI WA MAZINGIRA. Taswira ya Mji wa Njombe na Mazingira Yake Safi Mmoja wa Wawakilishi wa Kata ya Matembwe Akipokea Zawadi ya Shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKATAA KUCHANGA MCHANGO WA UJENZI WA SEKONDARI MBELE YA DIWANI

Wananchi wa kijiji cha Ruiwa kata ya Ruiwa wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamemgomea Diwani wa kata hiyo Alex Mdimilaje kuchanga mchango wa ujenzi wa sekondari ya Gwili kutokana na ubadhilifu.Diwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

GOOD MORNING NJOMBE,TANZANIA AND AFRICA. Kamwene Vanyahu Njombe?Watanzania Tunawajibu wa Kuhakikisha Tunatunza Mazingira.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NI FOLENI YA KUMUAGA NELSON MANDELA AFRIKA YA KUSINI

WAMLILIA MADIBA Endelea Kufuatilia Mtandao huu Utaendelea kukufahamisha juu ya Tukio la Kuuga Mwili Huo na Disemba 15 ndio siku ya Mazishi ya Mzee Madiba

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA MAISHA TU......SI LAZIMA KILA SIKU UNUNE.

Mshua Kaniambia Ukiwa Unanuna Mara Kwa Mara Utawahi kuzeeka.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEREVA WA BASI LA SIMIYU EXPRESS AFARIKI DUNIA BAADA YA BASI HILO KUPATA...

Hii kati ya ajali ambazo zimekuwa zikitokea kila mara Tanzania.WATU wawili wamekufa na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi waliolokuwa wakisafiria la Simiyu Express kupinduka katika eneo la Ihumwa nje...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NELSON MANDELA AZIKWA KIJIJINI KWAO QUNU

Shujaa wa Afrika na mwanamapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, Mzee Nelson Mandela amezikwa kitaifa leo kijijini kwake, Qunu, mkoani Cape Mashariki huko Afrika Kusini.Mazishi ya leo ya Mandela...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA NELSON MANDELA, KIJIJINI QUNU AFRIKA KUSINIRais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa mazishi Baba wa Demokrasia wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela kijijni Qunu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA UTALII NA UANDISHI WA HABARI ECKROS NJOMBE KIMEANDIKA HISTORIA KWA...

 Mshereheshaji wa Mahafali Hiyo Bwana Prosper Daud Mfugale Ambaye ni Mwanahabari wa Kituo cha Redio Mjini Njombe Akifanya Yake. Wahitimu wa Fani Mbalimbali Katika Chuo cha Eckross Kilichopo Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA CHAFANYA MAHAFALI YA KWANZA

 Lango kuu la chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia MbeyaMgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipata maelezo mafup toka kwa Mhadhiri msaidizi Phesto Namanyala...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live