KINANA AKWEA KWA TRENI MAKAMBAKO LEO ASUBUHI BAADA YA ZIARA YAKE MKOANI NJOMBE.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya walimu na viongozi wa vyuo vya elimu ya juu alipowasili kuzungumza nao pamoja na wananfunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Njombe leo.Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana na viongozi haoClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Baadhi ya wanafunzi na walimu wa elimu ya juu wakipiga makofi wakati wa kumkaribisha Kinana kuzungumza nao.Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Wanafunzi na viongozi wao wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akijibu maswali waliyoulizaClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Mmoja wa viongozi wanafunzi hao akitoa kero mbalimbali wanazozipata katika Chuo cha Uuuguzi cha Kibena, ambapo baadhi ya wanafunzi wasiokuwa na uwezo wa kulipa ada hunyimwa chakula na baadhi ya majengo ya shule kufungwa na mkandarasi kwa madai kwamba kutolipwa madai ya fedha za ujenzi. Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa, Amani, Mohamed Saad akielezea mbele ya Kinana jinsi vijana wanaomalizi vyuo vikuu wanavyokosa kupatiwa kazi kwa kisingizio cha kigezo kutokuwa na uzoefu wa miaka mitatuClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kinana akizungumza na wanafunzi, walimu na viongozi wa elimu ya juuClik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Wasanii wa Kikunndi cha Vicheko kikitumbuiza katika onesho la kuzinduz albamu za muziki mjini Njombe leo.Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kikundicha muziki wa kizazi kipya cha Kibena Art kinachomilikiwa na Umoja wa Vijana wa CCM kikitubuiza wakati wa onesho hilo Clik here to view.

Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Kinana akizindua albamu za kikundi cha Vicheko wakati wa onesho hilo maalumu lililofanyika leo mjini Njombe ambapo kiongozi huyo wa CCM alikuwa mgeni rasmi. |
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wakila kiapo cha utii kwa CCM baada ya kujiunga na Umoja wa Vijana wa CCM wakati wa onesho hilo maalum kwa uzinduzi wa albamu za kikundi cha Vicheko.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDAClik here to view.
