Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 2

$
0
0

MABANDA YASUASUA KUBOMOLEWA NYUMA YA STENDI NJOMBE.

 WAFANYABIASHARA WAKIENDELEA NA KAZI YA  KUFANYA BIASHARA  NA HAPA WAPO KUPANGA NGUO

Haya ni Maeneo Ambayo Yanatakiwa Kubomolewa na Kupangwa Upya Kulingana na Biashara Zao Ikiwemo Biashara ya Vyakula[Mama ntilie]na Wauza Nguo za Mitumba.

Hivi Karibuni Serikali ya Mtaa wa Gwivaha Ilitangaza Kuvunjwa Kwa Mabanda Yote Yaliyopo Katikati Ya Eneo Hilo na Hayatumiki Lakini Hadi Sasa Hakuna Utekelezaji wowote 



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles