Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

RAIS KIKWETE YUKO AFRIKA YA KUSINI KWA AJILI HESHIMA ZA MWISHO KWA MZEE MADIBA.

$
0
0

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha  viongozi mbalimbali wa Afrika kwa Rais Barack Obama wa Marekani  wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.

PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Latest Images

Trending Articles