Article 0
KARIBU TANZANIA BARACK OBAMA Hii ndege itakayosafirisha Magari na Mizigo wakati wa Ziara ya Obama Tanzania Mwezi Ujao. Hii ndiyo hali ya Ulinzi wa Mkenya Barack Obama White house MarekaniHumo gari la...
View ArticleArticle 1
NSSF MKOA WA NJOMBE WATOA MISAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA UWEMBA. Hapa ndiko kituo cha Watoto yatima cha Uwemba kilipo na haya ni Majengo ya Misheni ya Uwemba Njombe. Sister Agape Mgaya ambaye ni mlezi...
View ArticleArticle 0
WATU WANNE WANASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA UVAMIZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX MAKAMBAKO PAMOJA NA KUWAUA WALINZI WAWILI. Focas Malengo Afisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe azungumza na...
View ArticleArticle 13
DED KILOLO AFARIKI DUNIA GHAFLA . Mkuu wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Bw Gerald Guninita (kushoto) akimkabidhi msaada wa bati 300 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 8 ,mkurugenzi mtendaji...
View ArticleBARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE KUVUNJWA JUNE 28 MWAKA HUU.
Hawa ni baadhi ya Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakiwa kwenye Moja ya Vikao vyao kabla ya Kuvunjwa kwa Baraza Hilo June 28 mwaka Huu.Halmashauri ya Wilaya ya Njombe inatarajia kuvunja...
View ArticleArticle 11
AJALI MBAYA MLIMA KAWETERE MBEYA.Majeruhi wa ajali hiyo Ramadhani Kipese (45) akiwa na majeraha kichwani. Mtambo wa Wachina ukinyenyua gari la Kampuni ya Sabena baada ya kupata ajali eneo la maji...
View ArticleArticle 10
MADIWANI MJI NJOMBE WAMVAA MGANGA MKUU. Baraza la Madiwani likiwa kwenye Kikao chake na kumtaka Mganga Mkuu kuhakikisha anatekeleza Agizo la CHF Haraka iwezekanavyo mwezi Julai. Dokta James Ligwa...
View ArticleArticle 9
OBAMA AKIWA SENEGAL KABLA YA KUWASILI KWA MZEE MADIBA LEO. Rais wa Marekani, Barack Obama akishuka kwenye ndege akiwa na familia yake kwenye uwanja wa Dakar, Senegal usiku wa jana Jumatano June 26,...
View ArticleArticle 8
WAFANYAKAZI WA NSSF MKOA WA NJOMBE WANATARAJIA KUFANYA USAFI SOKO KUU LA NJOMBE KESHO. Hapa ndiko zilipo ofisi za NSSF Mkoa wa Njombe Opposite na Ofisi ya SHIPOHii ni ofisi ya NSSF Mkoani Njombe ambapo...
View ArticleArticle 7
NJOCOBA IMEENDELEA KUNYANG'ANYA MALI WADAIWA SUGU.baadhi ya vitu vya ndani vilivyonyang'anywa na Benki ya Wananchi wa Njombe Njocoba baada ya kushindwa kulipa Deni kwa wakati. Baadhi ya mali za ndani...
View ArticleArticle 6
KIONGOZI WA AL SHABAAB AKATAA KUJISALIMISHAKiongozi wa alshabaab Dahir Aweyes Mmoja wa viongozi wakuu wa al-Shabab nchini Somalia, Sheikh Hassan Dahir Aweys,amekata kujisalimisha , kulingana na taarifa...
View ArticleArticle 5
Mzee Nelson Mandela na HISTORIA YAKE.Baba yake mzazi alifariki wakati Mandela akiwa na umri wa miaka tisa. Kutoka wakati huo alilelewa na Jonintaba hadi wakati alipoitoroka familia hiyo baada ya...
View ArticleArticle 4
CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA. Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa...
View ArticleArticle 3
YA OBAMA BONGO YAANZA.taarifa ya mwandishi wetu inasema"Leo jioni wakati natoka katika shughuli zangu nilipita maeneo ya Mwenge pale stand ya mabasi nimekuta kweupe wale vijana wanao uza nguo kwa...
View ArticleArticle 2
BASI NDANI YA BAHARI LIKIVUKA NA ABIRIA. CHOMBO CHA MAJINI CHENYE MUONEKANO WA UMBO LA BASI KIKIVUKA KATIKA BAHARI NA ABIRIA IKIWA NI MOJA YA UKUWAJI WA TEKNOLOJIA AMBAPO IKIFIKA NCHI KAVU HUTUMIA...
View ArticleArticle 1
UJIO WA OBAMA TANZANIA MELI HIYO ITATIA NANGA NA KILA KI2.Maaskari na majasusi zaidi ya 500 kutoka Marekani tayari wapo Dar es Salaam.Licha ya hilo, ziara yake kutakuwa na askari 1,687 wakataokuja kwa...
View ArticleArticle 0
UJIO WA RAIS OBAMA DAR ES SALAAM TANZANIA HAPAKALIKI. With its tall roofline, obviously thick skin and fender-mounted flag stanchions, there's no mistaking the president's new limousine for any...
View ArticleArticle 0
PINDA ASISITIZA KAULI YAKE KWA WATAKAO KAIDI NA KUPANDIKIZA CHUKI NCHINI.Serikali imesisitiza kuwa haitavumilia kuona baadhi ya watu wanaendelea kupanda mbegu za chuki za kidini na kisiasa miongoni mwa...
View ArticleTAMASHA LA UMOJA KWANZA LA UPLANDS FM NJOMBE JANA LATISHA MBAYA.
Ellymathew Kika Kulia Dj Phily Katikati na Hosea Ndangale Kushoto watangazaji wa Uplands Fm Radio Walivyotokelezea Kwenye Tamasha la UMOJA KWANZA njombe.Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Uplands Fm Radio...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA KESHO ANATARAJIA KUANZA ZIARA YA WIKI MOJA MKOANI NJOMBE.
Waziri Mkuu Pinda Akisalimiana na Viongizi Wilayani Kilolo Mkoani Iringa Kabla ya Kuingia Mkoani NjoneJulai 8 Mwaka Huu. Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi akitoa ratiba ya Ziara Hiyo...
View Article