Hapa ndiko zilipo ofisi za NSSF Mkoa wa Njombe Opposite na Ofisi ya SHIPO
Hii ni ofisi ya NSSF Mkoani Njombe ambapo Kesho Juma Mosi wanatarajia kufanya Usafi na Kugawa vifaa vya Usafii katika Soko Kuu Mjini Njombe.
Wafanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoa wa Njombe Kesho wanatarajia kutoa misaada ya Vifaa vya Usafi ikiwa ni Pamoja na kufanya usafi katika Soko kuu Mjini Njombe.
Hatua hiyo ni muendelezo wa Wafanyakazi wa Shirika hilo kuendelea kujichanganya na Jamii ambapo hapo awali walifika katika Vituo vya Watoto yatima na Walemavu kutoa Misaada.