Hapa ndiko kituo cha Watoto yatima cha Uwemba kilipo na haya ni Majengo ya Misheni ya Uwemba Njombe.
Sister Agape Mgaya ambaye ni mlezi wa Kituo cha Watoto yatima cha Misheni Uwemba akitoa maelekezo kwa Msafara wa NSSF Mkoa wa Njombe uliofika kutoa misaada mbalimbali kwa
watoto yatima leo.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Njombe bwan Godwin Mwakalukwa akiwatizama watoto yatima Kituoni hapo leo
Baadhi ya Vitu vikikabidhiwa na Meneja wa
NSSF Mkoa wa Njombe
Hii ni ofisi ya NSSF Mkoa wa Njombe
Meneja wa NSSF Mkoa wa Njombe Bwana Godwin Mwakalukwa akikabidhi vitu mbalimbali kwa Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima Uwemba leo
Na Gabriel Kilamlya
Wafanyakazi wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Njombe Wameendelea na Zoezi la Utoaji wa Misaada Kwa Makundi Maalumu Yaliyopo Mkoani Njombe ,Ambapo Hii Leo Wafanyakazi Hao Wametoa Msaada wa Sukari , Mafuta ya Kupikia na Sabuni Kwa Watoto Yatima wa Kituo cha Wa-Benedict Tumsifu Kilichopo Uwemba .
Akikabidhi Msaada Huo Meneja wa NSSF Mkoa wa Njombe Bwana Godwin Mwakalukwa Amesema Wameamua Kutoa Misaada Hiyo Kwa Makundi Hayo Maalum Iliyaone Kuwa Yanathaminika Katika Jamii Kama Makundi Mengine Ndani ya Jamii na Kwamba Misaada Hiyo Itasaidia Kupunguza Baadhi ya Chanagamoto Zinazowakabili.
Akiongea Wakati Wakupokea Misaada Hiyo Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima Cha Wa-Benedict Tumsifu Sr. Agape Mgaya Amewashukuru Wafanyakazi Hao wa NSSF Kwa Msaada Huo na Kuyaomba Mashirika Mengine Kuiga Mfano Huo.
Sr. Mgaya Ameeleza Kuwa Ongezeko la Watoto YatimaInatokana na Wazazi Kufariki Kwa Ugonjwa wa Ukimwi na Kwamba Watoto Wanaoishia Katika Mazingira Hatarishi na Magumu Inasababishwa na Mifarakano Ndani ya Ndoa na Baadhi ya Kina Baba Kuwakana Mabinti Pindi Wanapowapatia Ujauzito.
Kituo cha Watoto Yatima Wa-Benedict Tumsifu Kina Jumla ya Watoto Kumi na Sita.