Article 3
MKUU WA MKOA WA NJOMBE ATENGUA MAAMUZI YA BARAZA LA MADIWANI WANGING'OMBE.Awarudhisha Igwachanya watumishi waliohamia Njombe. Mkuu wa mkoa wa Njombe capteni Mstaafu Asseri Msangi Akitengua maamuzi Hayo...
View ArticleWATANZANIA:TUNALITAZAMA BUNGE LETU LINAPOENDELEZA MALUMBANO NA KUAHIRISHA VIKAO
Bunge letu maalumu la katiba linaelekea wapi kama litakuwa linaendeleza malumbano na kuahirisha vikao???
View ArticleArticle 1
TWANGA PEPETA BAND WAFANYIWA EXCLUSIVE INTERVIEW UPLANDS FM NJOMBE JIONI YA LEOMwanadada Luiza Mbutu Mwanamuziki wa Band ya Twanga Pepeta Akihojiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Radio Uplands fm Lizy...
View ArticleTWANGA PEPETA BAND KUFANYA LIVE SHOW TURBO NJOMBE USIKU HUU
Baadhi ya team ya Twanga pepeta band Ikiwa na baadhi ya Watangazaji wa Kituo cha radio Uplands Fm Njombe Muda Mfupi baada ya kufanyika kwa Live Interview Katika Kipindi cha Nyumbani Afrika Jioni Ya Leo
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MAHESABU YA SERIKALI IKULU, DAR ES SALAAM, LEO
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Ripoti ya Mwaka kutoka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleTRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI GULWE WILAYANI MPWAPWA DODOMA
Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika...
View ArticleKURA ZA SIRI NA ZA WAZI KUTUMIKA BUNGENI
Hatimaye utata wa bunge maalumu la katiba juu ya kura ya wazi au ya siri wamalizika kwa hatima ya kura zote kutumika hivyo kumalizika kwa mvutano huo bunge hilo Litaanza kuendesha vikao kwa maamuzi ya...
View ArticleMIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YATAKIWA KUTOA ELIMU VYUONI NA SHULENI
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akitoa mada kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwenye semina iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanafunzi wa mwaka...
View ArticleArticle 1
KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 21 MIKOA YA RUKWA, KATAVI NA KIGOMA,Leo AWASILI SUMBAWANGA. Ndege iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ikiwasili katika uwanja wa ndege mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa...
View ArticleArticle 0
HALMASHAURI ZA MKOA WA NJOMBE ZASHAURIWA KUPIMA MAENEO YAKE Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bwana Jackson SaitabauNa Gabriel Kilamlya NjombeHalmashauri za Mkoa wa Njombe Zimeshauriwa Kujikita Katika...
View ArticleSAMUEL SITTA AMRUHUSU MTIKILA KUWASILISHA BARUA YAKE KWA JK YA KUTAKA BUNGE...
Sitta ampa barua Mtikila aende kwa JK Mwenyekiti wa Bunge la Katiba,Samuel Sitta.PICHA|MAKTABA Na Mwandishi wetu KWA Hisani ya mwananchi MCLDodoma.Ombi la Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji...
View ArticleArticle 3
KATIBU MKUU WA CCM AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA,ATEMBELEA ENEO LA UJENZI MPYA WA BANDARI Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo mafupi kutoka kwa wenyeji wake kuhusiana...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area...
View ArticleArticle 1
Majina ya walimu wa Ajira Mpya waliokubaliwa kubadilisha Vituo vya kaziWALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUOOfisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya...
View ArticleUSIMAMIZI WA FEDHA KATIKA LGAs WABORESHWA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Hawa Ghasia (Mb), amesema ifikapo mwaka 2015, Halmashauri zote nchini zitakuwa zimeshafanikiwa kuwa na mfumo thabiti wa...
View ArticleWAKAMATWA WAKIDAIWA KUKUTWA NA MENO YA 53 YA TEMBO NA SMG
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu.Kikosi dhidi ya Ujangili Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Kikosi Kazi Maalum, kimewakamata watu sita kwa tuhuma za kukutwa na silaha ya kivita aina ya Sub...
View ArticleArticle 1
MWALIMU S/M LOLE KATA YA IKUNA NJOMBE AUAWA KIKATILI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe SACP Fulgency Ngonyani Akizungumza na Mtandao huu Leo.Na Gabriel Kilamlya NjombeLicha Ya Jeshi la Polisi Kuendelea...
View ArticleArticle 0
WIKI YA UPANDAJI MITI KITAIFA WAFANYIKA KIBENA NJOMBE,JAMII YAASWA KUJIKITA KATIKA UWEKEZAJI WA MITIpichani ni katibu tawala Mkoa wa Njombe Bwana Jackson Saitabau Akisoma taarifa ya Hali ya Utunzaji...
View ArticleWANANCHI WAFUNGUKA SAKATA LA MWALIMU MKUU KUFUNGUA BAA SHULENI HUKO MAKETE...
Baada ya siku chache kugundulika kuwa Mwl.Mkuu wa shule ya Msingi Unenamwa kata ya Luwumbu wilayani Makete Mkoani njombe anauza pombe za kienyeji na viwandani kwenye nyumba ya shule hiyo hali hiyo...
View Article