$ 0 0 Hatimaye utata wa bunge maalumu la katiba juu ya kura ya wazi au ya siri wamalizika kwa hatima ya kura zote kutumika hivyo kumalizika kwa mvutano huo bunge hilo Litaanza kuendesha vikao kwa maamuzi ya kura za wazi na za siri kwa watakaotaka