Kutoka kwa RC Paul Makonda na mistari aliyonukuu
Jina la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda sasa hivi linatajwa sana kwenye headlines za sakata la dawa za kulevya, hii inatokana na kuamua kama kiongozi kuongoza vita dhidi ya dawa ya kulevya...
View ArticleBalozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia bado hajaondoka nchini Malawi hata...
Balozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia anakabiliwa na notisi ya kuondoka nchini humo kufuatia mgogoro kuhusiana na uchunguzi wa kifo cha Kim Jong nam nduguye wa kambo rais wa Korea kaskazini.Siku ya...
View ArticleMbunge Tundu Lissu akamatwa na Polisi akitoka mahakamani
Jeshi la Polisi nchini linamshikilia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu baada ya kuachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Lissu aliachiwa leo asubuhi na Hakimu Mkuu Mkazi, Huruma Shahidi...
View ArticleSimu ya Rais Magufuli kwa Diamond LEO
Leo March 14 2017 kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV, Rais Magufuli amepiga simu na kuzungumza na Mwimbaji wa Bongo fleva Diamond Platnumz baada ya kusikia Diamond akimuomba Rais...
View ArticleCHELSEA WAWATOA MAN UNITED FA CUP
Usiku wa March 13 2017 mchezo wa robo fainali ya FA Cup kati ya Chelsea dhidi ya Man United ulichezwa katika uwanja wa Stamford Bridge, Man United ambao walikuwa wageni katika mchezo huo waliingia...
View ArticlePolisi auawa Kinyama Baada ya Kuitiwa Mwizi
Watu sita wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kumuua askari polisi Abdala Chande kwa kumkata na mapanga baada ya kupita katika nyumba inayofanyika biashara ya pombe...
View ArticleRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA KUZUIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu...
View ArticleUteuzi mwingine alioufanya Rais Magufuli Usiku wa machi 23,2017
Rais Magufuli jioni ya 23 2017 amefanya uteuzi mwingine tena kwa kumteua Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
View ArticleJeshi la Polisi Lirudishe Simu Yangu - Tundu Lissu
Nimetoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar sasa hivi. Polisi wamekataa kunirudishia simu yangu waliyoinyang'anya kwa nguvu tarehe 6 Machi, siku waliyonikamata nikiwa mahakamani Kisutu.Mimi sijatuhumiwa wala...
View ArticleGwajima: Mimi ndo chanzo cha Nape Nnauye Kutumbuliwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima amesema kuwa yeye ni sababu kubwa ya kutenguliwa kwa Waziri wa habari,utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye.Akizungumza leo (Alhamisi) baada...
View ArticleRAVELMATE: BEGI LINALOTEMBEA LENYEWE KUMFUATA MMILIKI WAKE
Sote tunajua taabu inayopatikana ya ubebaji Begi au mabegi pale tunaposafiri kuelekea katika kituo aidha cha Mabasi, Treni au Ndege.Adha hiyo sasa inakaribia kuondoka kabisa baada ya kufanyika mageuzi...
View ArticleMangu Awataka Wananchi Wampe Ushirikiano IGP Simoni Sirro
Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wananchi kumpa ushirikiano IGP mpya, Simon Sirro katika kukabiliana na matukio ya uhalifu nchini hasa katika Mkoa wa Pwani.Mangu...
View ArticleWalemavu walioungana wampata kijana wa kuwaoa
Kwa yeyote aliyewahi kukutana nao, mapacha wawili ambao ni walemavu walioungana matumbo, Maria na Konsolata hatabisha kwamba pamoja na hali yao, watoto hao ni wacheshi, wakarimu na wanaoweza kukufanya...
View ArticleKairuki: Serikali Haitaajiri Walimu wa Masomo ya Sanaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki amefunguka na kusema serikali kwa sasa haitaweza kuajiri walimu wapya wa sanaa bali itawatumia walimu wa sanaa wa ziada waliopo...
View ArticleAnna Mghwira AKABIDHIWA ILANI YA CCM BAADA YA KUAPISHWA
Leo June 6, 2017 Ikulu Dar es salaam, Rais Magufuli amemuapisha Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mama Mghwira ni mwanachama wa ACT Wazalendo na aliyekuwa mgombea Urais wa chama hicho...
View ArticleSAGCOT:UHABA WA MAJI WAKWAMISHA KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Wadau wa Kilimo Toka Mikoa ya Njombe,Songwe,Iringa,na Ruvuma Wakiwa Kwenye Picha ya Pamoja Katika Mkutano wa SAGCOT Njombe Mjini. Viongozi Mbalimbali Nje ya Ukumbi wa Johnson Njombe Mjini Baada ya...
View ArticleWAKAZI WA KIJIJI CHA INYAMALO NJOMBE WAOKOA ZAIDI YA TSH.45 MILIONI UJENZI WA...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka Akikagua Ujenzi wa Nyumba ya Pili ya Walimu Katika Shule ya Msingi Inyamalo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Chidtopher Ole Sendeka Akiweka Jiwe la Msingi Katika...
View ArticleTFF Wakanusha Kutowalipa Posho Serengeti Boys
Kufuatia taarifa zilizokuwa zikienea na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatelekeza wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ya...
View Article