Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Anna Mghwira AKABIDHIWA ILANI YA CCM BAADA YA KUAPISHWA

$
0
0

Leo June 6, 2017 Ikulu Dar es salaam, Rais Magufuli amemuapisha Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mama Mghwira ni mwanachama wa ACT Wazalendo na aliyekuwa mgombea Urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Mghwira ameapishwa leo na tayari amekabidhiwa ilani ya CCM. 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles