WAZIRI WA ARDHI LUKUVI AKABIDHI HATI 1361 KWA WANA KIJIJI CHA DIHOMBO NA...
Wakazi wa vijiji vya Hembeti na Dihombo wakisubiria kupata Hati miliki zao Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake wakati wa alipozindua utoaji wa...
View ArticleTAARIFA YA TAHADHARI KWA WADAIWA WA PANGO LA KODI YA ARDHI
Na Mboza LwandikoLipa Kodi ya Ardhi kwa wakati, uepuke kutozwa Tozo, Kutangazwa kwenye Vyombo vya Habari, Kupelekwa Mahakamani na Kufutiwa umiliki wa ardhi yako, kwani Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka...
View ArticleTAARIFA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHAMIA DODOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINI TAARIFA KWA UMMAAWAMU YA KWANZA YA WATUMISHI KUHAMIA MAKAO MAKUU YA NCHI - DODOMA TAREHE 10 FEBRUARI, 2017Wizara ya Nishati na Madini inapenda...
View ArticleYusuf Manji Kaachiwa Huru Kwa Dhamana ya Milioni 20
Mfanyabiashara maarufu Yusufu Manji amepata dhamana baada ya kusomewa shtaka moja la kutumia dawa za kulevya aina ya heroine.Manji amesomewa shtaka hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya...
View ArticleMugabe: Hakuna mtu anayestahiki nafasi yangu katika uchaguzi wa 2018
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe alinukuliwa jana Jumapili akisema kuwa chama chake cha Zanu-pf na wananchi hawaoni kama kuna mtu anayefaa kuchukua nafasi yake katika uchaguzi wa mwaka kesho. Rais Mugabe...
View ArticleMbowe Asakwa na Polisi Kila Kona.....Apewa Masaa 48 Ajisalimishe Mwenyewe Kwa...
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro amesema endapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hataripoti kituoni kesho (saa 48 tangu jana), atatafutwa kwa namna ambayo jeshi hilo...
View ArticleBAADA YA NJOMBE MJI FC KUPANDA DARAJA KWENDA LIGI KUU,RC NJOMBE ASEMA LAZIMA...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka Akiapishwa na Rais. Na Gabriel Kilamlya NjombeNjombe mji Fc ni Club ya Tatu Kupanda Daraja Baada ya Lipuli ya Iringa na Singida Kukwea na Kuelekea Ligi...
View ArticleMasogange apandishwa kizimbani, aachiwa kwa Dhamana ya Milioni 10
Msanii Agnes Gerald 'Masogange' amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka ya kutumia dawa za kulevya.Mrembo huyo ambaye ni maarufu kwa kupamba video za...
View ArticleZitto Kabwe azidi kuibana Serikali Kuhusu ufisadi wa IPTL....Amtaka Rais...
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kumtaka Rais Magufuli kuchukua hatua dhidi ya anachokiita ufisadi katika kampuni ya uzalishaji umeme ya IPTL, inayomilikiwa...
View ArticleWanafunzi wanne kizimbani kwa kumkashifu Rais
Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na shitaka la kuchapisha picha zinazoonyesha Rais Dk. John Magufuli amevaa hijabu...
View ArticleRidhiwani Kikwete ajibu shutuma ya kutajwa kwenye orodha ya watuhumiwa wa...
Mbunge wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha vikali shutuma zilizotolewa dhidi yake kuhusu kujihusisha na biashara haramu ya dawa za...
View ArticleMakato Bodi ya Mikopo: TUCTA Yatoa Siku 14 kwa Serikali Kuwarudishia...
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limetoa siku 14 kwa Serikali kurejesha fedha za makato ya mikopo ya asilimia 15 zilizokatwa kikamakosa kupitia Bodi ya Mikopo, likisema sera...
View ArticlePolisi Dodoma limewakamata na kuwataja watuhumiwa wa dawa za kulevya
Kamanda wa polisi Dodoma Lazaro Mambosasa amezungumza na waandishi wa habari na kutoa takwimu ya watuhumiwa waliokamatwa na kufikishwa mahakamani hadi sasa.Mambosasa amesema…>>>’Katika...
View ArticleRais Magufuli Amteua Mama Salma Kikwete Kuwa Mbunge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 01 Machi, 2017 amemteua Mhe. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Salma Kikwete...
View ArticleAfya ya rais Robert Mugabe yadhoofika
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe ameenda Singapore kufanya vipimo vya Afya yake, siku chache baada ya sherehe ya kufikisha miaka 93. Mugabe amekua dhaifu zaidi, na sasa...
View ArticleHabari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 4
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 4
View ArticleWATATU WAFA KWA AJALI NJOMBE
Watu watatu wamefariki na 34 kujeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya ILYANA mkoani NjombeWatu watatu wamefariki na 34 wamejeruhiwa akiwemo mwananke mmoja mjazito katika ajali ya basi la kampuni...
View ArticleMFANYABIASHARA ASIMAMISHWA KUENDELEA NA UJENZI WA GHOROFA NJOMBE
Pia waweza tazama hii kama ulipitwaMfanyabiashara azuriliwa ujenzi wa Ghorofa mbele ya uwanja wa ndege Njombe04Mar2017
View ArticleWENYE AKILI NYINGI ZAIDI DUNIANI HAWA HAPA
Rekodi ya Dunia ya watu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi (IQ) ni Wanasayansi na wachezaji Chess lakini pia unaweza ukawa umewahi kujiuliza ni kiongozi gani mwenye akili zaidi Duniani, nimekutana...
View Article