IGP Sirro: Ni kosa Polisi Kudai Hela ya Mafuta kwa Raia
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi mikoa kuhakikisha wanatumia vizuri mafuta ya magari wanayowekewa ili kuepuka malalamiko ya wananchi kwa magari ya polisi...
View ArticleMajaliwa apokea taarifa uchunguzi wa Salfa, Ni ya makontena 211 yaliyokuwa...
Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema salfa iliyoingizwa nchini kwenye makontena 211 haina kasoro na inafaa kwa matumizi ya kupulizia kwenye mikorosho.Majaliwa amesema hayo...
View ArticleMashemeji Derby Gor Mahia wameibuka Mabingwa wa SportPesa Super Cup 2017
Siku ya Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup yaliyokuwa yanashirikisha timu nane, kati ya hizo nne kutoka Kenya na nyingine kutoka Tanzania yamemalizika rasmi kwa kuchezwa mchezo wa...
View ArticleAcacia wakutana na Rais Magufuli Ikulu leo, wakubali kulipa fedha wanazodaiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia...
View ArticleBunge Latoa Azimio La Kuitaka Serikali Ichukue Hatua KALI Kwa Wahusika Wote...
Bunge limeitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaothibitika kuhusika kuliingizia Taifa hasara na kuwakosesha Watanzania fursa ya kufaidika na rasilimali za madini.Hoja hiyo imetolewa...
View ArticleWapiga Dili Wamzuia Rais Magufuli Kusafiri Nje ya Nchi
Rais John Magufuli amesema amepata mialiko zaidi ya 60 kwenda nje ya nchi baada ya kuwa Rais lakini ameikataa kwa sababu anataka kuishughulikia Tanzania kwanza.Ameyasema hayo jana (Jumanne Julai 4)...
View ArticleUamuzi Wa Kikao Cha Kamati Ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini TFF
Kamati ya Utendaji (EXCOMM) ya Shirikisho la soka nchini TFF, ilikutana jana Jumanne Julai 4, 2017 katika kikao cha dharura ambako ilijadili mgawanyiko katika Kamati ya Uchaguzi ya TFF.Kamati hiyo ya...
View ArticleRais Magufuli: Mwalimu Atakaye Mrudisha Mwanafunzi Aliyepata Mimba Ntamfukuza...
Rais John Magufuli amesema mwalimu mkuu atakayeruhusu mwanafunzi aliyejifungua kurudi shuleni kuendelea na masomo katika shule za Serikali, atafukuzwa kazi.Rais ameyasema hayo leo (Jumanne, Julai 4)...
View ArticleManji Afungua Kesi Akiomba Polisi Wamwachie Huru........Ni Baada ya Kukamatwa...
Mfanyabiashara maarufu na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuf Manji na wenzake wawili wamefungua kwa hati ya dharura maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar wakiomba waachiwe...
View ArticleHamisa amchokonoa Zari, ajiita 'Mama Dee...'
Mrembo Hamisa Mobetto anazidi kuzichukua headlines tangu ilipojulikana kuwa ni mjamzito mpaka ujauzito wake kuhusishwa na Diamond Platnumz mpenzi na mzazi mwenzake na Zari The BossLady na raundi hii...
View ArticleSerikali imepiga marufuku BAADHI YA shule KUPOKEA WANAFUNZI
Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na mafunzo ya ufundi Mh. Profesa Joyce Ndalichako amepiga marufuku shule ambazo hazijakamilika na kupewa kibali kupokea wanafunzi huku akitoa mwezi mmoja kwa shule...
View ArticleKaratasi za kupigia kura Kenya zimefutwa
Mahakama kuu nchini Kenya imefuta karatasi za kupigia kura na kuamrisha mchakato wa uchapishaji wa karatasi hizo kurudiwa upya. Na Gabriel Kilamlya NAIROBIMahakama kuu nchini Kenya imefutilia mbali...
View ArticleSIKU HAZIFANANI
Tunapokuwa tumeamka Vyema Pasina Maradhi Yoyote tunapaswa kumshukuru mwenye jina lipitalo majina yote..........mi mzimaaa Hofu kwenu mliyembali na upeo wa macho yangu.#ni hayo tu.
View ArticleTAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Aika Nnkya akimpa ushauri kuhusu afya ya moyo Kizito Joseph (kushoto) ambaye alitembelea banda la Taasisi hiyo...
View ArticleMALIMBIKIZO YA BILIONI 4.5 YAZIFUNGIA STAR TV NA REDIO FREE AFRIKA
Ofisi za Kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki kituo cha televisheni cha Star na cha redio cha Radio Free Africa (RFA) zimefungwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa deni la Sh4.5 bilioni.Ofisi...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco afanya ziara nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Serikali ya Ufalme wa Morocco Mhe.Mounia Boucetta na ujumbe wake wametembelea Wizara leo tarehe 13 Julai, 2017 na kufanya mazungumzo na...
View ArticleDKT. KIGWANGALLA AANZIA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI MTWARA, AHIMIZA WATUMISHI...
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla ahimiza watumishi wa wizara hiyo kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuzingatia sheria, miongozo, taratibu...
View Article