Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA WA CCM UKAMANDA KINGUGE NGOMBALE MWIRU

Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-1. Lilimvua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINA LA EDWARD MWALONGO UBUNGE JIMBO LA NJOMBE KUSINI LA REJESHWA

KAMATI KUU YA CCM YAPITISHA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE MAJIMBO 9 YALIYORUDIA UCHAGUZIKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii katika ofisi ndogo ya Makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALVA KIIR AKATAA KUTIA SAHIHI MKATABA

Serikali ya Sudan Kusini imekataa kusaini mkataba uliotarajiwa kuleta amani na kumaliza mapigano yaliyodumu nchini humo kwa zaidi ya miezi ishirini.Hata hivyo waasi na makundi ya upinzani wamesaini kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUA MAFUNZO YA MADEREVA WA MABASI YA MWENDO WA HARAKA...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDWARD LOWASA AKAMILISHA ZOEZI LA KUOMBA WADHAMINI AKIWA ZANZIBAR

Umati mkubwa wa wakazi wa kisiwani Zanzibar wakiwa tayari katika viwanja vya Kibanda Maiti kuwasikiliza viongozi wa UKAWA ikiwa ni pamoja na kumsikiliza mgombea uraisi kupitia umoja huo Mh. Edward...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANO WAFA KWA KUTUMBUKIA KWENYE MAJI LUGARAWA LUDEWA MKOANI NJOMBE

Na Nickson Mahundi LUDEWAWatu watano Wanasadikika Kufariki  huku wengine wawili wakijeruhiwa kufuatia ajali ya gari iliyotokea Jana asubuhi katika wilaya ya ludewa mkoani Njombe Baada ya Kutumbukia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MKOA WA NJOMBE LIMESEMA MWENDOKASI NDIO CHANZO CHA VIFO VYA...

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad  Mutafungwa Kamanda wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Mkoa wa Njombe Kelvin NdimboKamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad Mutafungwa Aliyekaa na Kamanda wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO...

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAKATALIWA KUFANYA MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI UWANJA WA TAIFA.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) akikanusha kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea Urais wa Chadema, EDWARD LOWASSA na Mwenza wake DUNI HAJI, wasaini...

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama chaDemokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisaini fomu zahati ya Kiapo kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya Kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI NPC:WANAHABARI NJOMBE KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

 Mwenyekiti wa Njombe Press Club Mercy Sekabogo Akizungumza Katika Kikao Cha Wanahabari wa NPC Wa Kwanza Kushoto ni Katibu wa NPC Hamis Kassapa na Mtunza Hazina wa NPC Sunday Bavuga Katibu Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDUPINDU CHAENDELEA KUTESA JIJINI DAR ES SALAAM

 Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuwa vya ugonjwa wa kipindupindu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA TOZO KWA ZABUNI HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE

                                          

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa kwa umma kutoka ofisi ya msajili wa vyama vya siasa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wakati alipotembelea makao makuu ya Tume hiyo na kuzungumza na viongozi na wafanyakazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA...

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji, Damian Lubuva akitoa mada leo jijini Dar es salaam kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali waliohudhuria mkutanoni .Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RPC NJOMBE:AMANI INATAKIWA KUENDELEA BAADA YA UCHAGUZI MKUU

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Wilbroad MutafungwaNa Gabriel Kilamlya Njombe Ikiwa Imebaki Siku Moja Tume Ya Taifa ya Uchaguzi NEC Kuzindua Rasmi Kampeni za Uchaguzi Mkuu Hapo Agosti 22 Mwaka Huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE ATIMKA CCM NA KUJIUNGA NA...

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMT 2015 Denis Laswai ANYAKUA MILIONI 50.

Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WAZINDUA RASMI KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

NI ZAIDI YA MAFURIKO JANGWANI LEO, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live